Pole sana mh Rais wangu , ila naomba vyombo vya ulizi na usalama vichukue hatua kali sana kwa hawa watovu wa nidhamu , haiwezekani mh Rais ukadharirishwa namna hiyo, tabia mbaya ya namna hiyo haifai kuachwa hivo bila kuchukuliwa hatua, sio vibaya wakafungwa hata maisha jela ili iwe fundisho kwa...
Mh Paul makonda km jina lake lilivyo ni mkristo tena mkatoliki hiyo ndio Imani yake anayoona fahari kuiishi, alipoamua kwenda kwa kiongozi wake wa kiroho kupata Baraka zitakazomsaidia ktk utendaji wake binafsi sioni km kuna unafiki wala sioni kosa lolote, tumuombee na tumpongeze kwa imani yake...
Mwacheni Rais wetu atumbue majipu ili kila mmoja awe na nidhamu ya kazi , watu wamekuwa wavivu na wenye tamaa ya pesa za ufisadi na ubinafsi wa kujilimbikizia mali za wizi wa Mali ya uma
Hongera Rais wetu magufuli
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.