Ukifuatilia kauli ya Mh. Rais JPM akihutubia siku ya Mahakama kwa yeye si dikteta, ni wazi alikuwa anajibu hoja za baadhi ya watanzania wanaomwona ana utawala wa kiimra. Mimi binafsi naona ni sawa tu akiwa dikteta. Labda tujiulize., Utawala wa kikwete ulikuwa wa kidemokrasia kwa maana ya kuvumiliana, uhuru wa vyombo ya habari etc, leo tumefika wapi? Serikali imeshindwa kulipa mishahara kwa wakati, Ufisadi uliokithiri mfano mzuri ni NIDA ambao Mh. Rais ametolea mfano.
Kama maamuzi ya magufuli kuwashughulikia mafisadi na kutaka wafungwe haraka ndio u-dikteta basi aongeze zaidi kwani hamna namna, nchi hii imekuwa ya hovyo na kila mtumishi wa umma anajifanyia analotaka. Uchumi haukui, vijana hawana ajira, barabara vijijini ni mbovu, bado watoto wanakaa chini, etc, etc. Ndugu watanzania tiger countries ukisoma vizuri historia yake walitanguliza mbele maendeleo kuliko hii demokrasia tunayoiongelea. Leo wako mbali na pato lao la taifa ni kubwa mno, incomparable to ours.
Kama haki za mafisadi na wahujumu uchumi zinaminywa na kuwa violated for the interests of the general public na Magufuli aendelee kuwa dikteta tena mbaya kwa manufaa ya wengi kwani tumechoka.
Mungu Ibariki Tanzania.