Dangote yaanza kusambaza cement Tanzania

Dangote yaanza kusambaza cement Tanzania

Mbona hiyo bei ni tofauti na matarajio yetu.. tuliambiwa bei itakuwa kati ya 5000 na 8000.
Ngoja nimpigie Braza Aliko Dangote.
 
Ndugu yangu isue ni ivi kiwanda kinauza cement kwa sh 8000 + 3500 ya VAT =11,500
Kwa hiyo mpaka ikufikie wewe ni 13,500
Kwa hiyo tatizo ni hapa kazi tu
Mkuu Hiyo Vat ya 3500 kwenye 8000 umeitoa wapi?
 
Dangote hapo haeleweki vizuri kwa watanzania
Mtoa mada sidhan kama ni kweli bei hiyo. Yawezekana wewe ni mlanguzi tu. Dangote alidhamiria kuuza Cement kati ya Tsh 5000-8000
 
Arusha Simba Cement 15000 na Moshi Cement 14500. Hiyo ni Bei ya Rejareja.
 
Tena kule Nachingwea Lindi nimekuta inauzwa 15000! Wakati cement nyingine ni 16000 sasa tofauti ni nini hapo. Mbwembwe nyingi kumbe wote wezi tu!
 
Kile kiwanda kikubwa cha Africa mashariki na Africa kwa ujumla kwa mara ya kwanza kimeanza kuzalisha kusambaza cement jana tar 21/02/ 2016.

Kiwanda hicho ambacho ni tegemeo jipya kwa waakazi wa mikoa kusini Mtwara na Lindi kiliahidi ajira nyingi ya wakaanzi wa mikoa hiyo na watanzania kwa ujumla
Cement tayari iko maduka kwa bei nafuu ya sh 13,500 tofauti na cement ya viwanda vingine.

Tunawakaribisha wateja wa cement hiyo na wenye magari makubwa kufungua office mkoani Mtwara ili kuongeza ajira za madereva hapa mkoani.
Cement mpaka elf 11
 
Cement bado inauzwa bei hiyo hasa ya Twiga..labda Rhino Cement ambao bado uwezo wao mdogo
 
Ok, sasa dangote cement itakufikia huko Moshi Arusha hadi Namanga kwa sh 13,500
As soon as possible
Ok Sawa Sales Executive, niambie hiyo kodi ya 3500 kwenye 8000 umeiataje maana naona kama suala ni kodi basi cement inifikie kwa angalao 10500.
 
Kama huyu ndio marketing manager basi hiko kiwanda kifungwe tu
 
Kile kiwanda kikubwa cha Africa mashariki na Africa kwa ujumla kwa mara ya kwanza kimeanza kuzalisha kusambaza cement jana tar 21/02/ 2016.

Kiwanda hicho ambacho ni tegemeo jipya kwa waakazi wa mikoa kusini Mtwara na Lindi kiliahidi ajira nyingi ya wakaanzi wa mikoa hiyo na watanzania kwa ujumla
Cement tayari iko maduka kwa bei nafuu ya sh 13,500 tofauti na cement ya viwanda vingine.

Tunawakaribisha wateja wa cement hiyo na wenye magari makubwa kufungua office mkoani Mtwara ili kuongeza ajira za madereva hapa mkoani.
mbona bei ni ileile au zaidi ya viwanda vya zamani?
 
Bado haijawa mkombozi kwa watumiaji wa hiyo cement
 
Back
Top Bottom