Recent content by patino

  1. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta wakala Kila mkoa mtaji utapewa

    0613656042
  2. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta wakala Kila mkoa mtaji utapewa

    Mimi ni mjasiriamali mdogo ninatengeneza chama za watoto (jamii ya popcorn kwa kizungu corn puffs). Pakti ziko designed kuuzwa sh 200 Moja kwa muuzaji wa mwisho, wewe kama wakala nitakuuzia shilling 120 kwa bei ya jumla wewe utauza 160 kwa wateja wako ambao watauza 200. Wateja Ni walimu...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kununua Gari

    Nime ku pm
  4. P

    JamiiForums Tanzania PSRS interview questions (written, pract & oral)

    Wakuu mliowahi kufanya mtihani wa account officer hua wanatoa explanation au calculations (makabati?)
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mmeziona Fursa za kusomeshwa Bure na KCB? Changamkia hizi short course nchi nzima

    Mm nimeapply jana kupitia bio yao Instagram
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mliofanya interview za accounts officer hua wanatoa makabati au explanation naomba msaada.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Je, Tangazo la Ajira TRA ni la kweli?

    Duuh kwa Ile timeline ya application ilivokua chapchap nilidhani Kila kitu kitaenda fasta. Anyway tuwasubiri hatuna namna.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kuna wale familia inakuulizaa mbona wenzio uliosoma nao wanafanikiwa kwanini wewe pekeako maisha hayana muelekeo?
  9. P

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya za TRA

    Tunaomba ukipata hio link ushee na sisi tujiunge
  10. P

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya za TRA

    Hamna kitu
  11. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Inawezekana au kwasababu hua wanawatumia walim wa vyuo wanawasubiri wasaishe ue kwanza. Tujipe moyo aisee maana duuh
  12. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Tra na udom wapi na wapi
  13. P

    JamiiForums Tanzania Nina uhitaji wa msichana wa kunisaidia kazi za nyumbani, mimi ni mwanaume na watoto wawili wadogo

    Nina shangazi yangu mtu mzima Yuko kwenye 40s unaweza kumpokea wanae wakubwa Yuko kijijini Mme wake alimfukuza.
  14. P

    JamiiForums Tanzania Glaser Hepatitis B Healthcare Initiatives

    Kokote unakotaka ndio gia usiwashtukie mm nlikutana nao 2017 nlipiga interview online wakanipa mkataba mshahara million 5. Ila natakiwa kufanya hio test ilikua dola 300 enzi zile. Sema nilitafuta mawasiliano ya huo mradi head office ilikua Chicago, walinijibu Wana branch Kenya na Zimbabwe tu...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Anahitaji kujitolea kufundisha somo la Book-keeping na Commerce

    Nime ku pm mkuu
Back
Top Bottom