Recent content by patient

  1. P

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Milioni 20 ya mkopo kipindi cha Magufuli, niwekeze kwenye nini?

    Asante sana mkuu umetema Cheche za hatari sana.mwenye maskio na asikie.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Huyu kuku wa ajabu nimfanyeje?

    Kama bibi alisharest in piece je!![emoji4] [emoji4] [emoji4]
  3. P

    JamiiForums Tanzania Hotel kubwa Morogoro kubomolewa

    Nimekaa nikafikiria sana na bado sijapata majibu hivi sisi wananchi wa Tanzania tunataka nn katika nchi hii?? Maana kabla ya uchaguzi tulipiga sana kelele za mabadiliko.sasa mabadiliko yanakuja tena kwa kufuata sheria na kwa kutoa vigezo,adv na dis advantage zake,cha ajabu wananchi tumegeuka na...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini madirisha ya choo hujengwa madogo?

    Ili mtu wa nje asikupige chabo japo ni mambo ya kizamani tu na mazoea ya kujenga nyumba za hivyo tangu enzi na enzi.
  5. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni aina gani ya mwanamke wa namna hii?

    Yaan umuachishe binti wawatu kazi halafu unaleta mbwembwe hapa.shame on you mxiiiiiuuuuu
  6. P

    JamiiForums Tanzania Siwezi kula utumbo wa ng'ombe hata uniwekee bastola kichwani

    Pole sana utumbo na ndizi ndo mpango mzima.
Back
Top Bottom