Ni aina gani ya mwanamke wa namna hii?

Ni aina gani ya mwanamke wa namna hii?

Umeshamfuluga mtoto wa watu hivo na unataka kumtema hyo sio vizuri. Hapo mridhishe kwa kuandelea kushare nae hiyo biashara mlioanza nae ila kuoa si kitu cha kushauriwa ni ww mwenyewe unajua na moyo wako uko wapi.
 
Huyu binti alikuwa na mtu kabla na amerudiana naye na anaolewa soon lakini bado ana mawasiliano na mimi kitu ambacho sitaki! naomba ushauri nifanye nini ili kuwa mbali nae? nishamwambia lakini haachi kunisumbua!
 
AHAHAHAHAHAAHAHAHAHHAHAAAAA....ASANTE KWA POST YAKO IMENIFANYA NIISHIE KUCHEKA TUU.

HEBU JIULIZE NA WEWE NI MWANAUME WA AINA GANI?...KATILI KIASI HICHO...UMEMWACHISHA KAZI DADA WA WATU, UKAMFANYA AVUNJE UCHUMBA NA MTU WAKE KWAKUWA ANAKUPENDA WEWE, KAJITOLEA KUSIMAMISHA BIASHARA YAKO NA SASA UNAMWACHA UOE MKE WA KUKUZALIA WATOTO WAKO.....

ANGEKUWA NI DADAKO AMEFANYIWA HIVYO UNGETHUBUTU KUANDIKA HICHO KITU HAPA AU NDIO UNGEKUWA SEGEREA UKISUBIRIA HUKUMU KWA KESI YA MAUAJI?

BEFORE YOU EVEN THINK ABOUT WRITING SOMETHING SO TANGIBLE BOTH TO YOU AND OTHERS LIVES...

THINK AGAIN AND AGAIN....

U DON'T HAVE TO RUSH HITTING THOSE TYPING GADGETS AND THROW YOUR SHIT IN THE AIR...WAVING YA ASS AS YOU ACTUALLY DON'T CARE.....BI&*^$^tch AZ-NIGGER.

Makavu bila chenga
 
1. umekichakaza na kukirarua vibaya kipapa chake.
2. umemuachisha kazi na kumfanya mtumwa wako
3. unataka kumuacha ili ambae hajachangia katika kutafuta ale bure tu hata hakujua uchungu wa kutafuta
4. Mtoto wa watu anakupenda na ndo sababu ukute aliachana na huyo bwana harusi wake mtarajiwa.
ushauri:
fanya umuoe huyohuyo binti, au mpe kampuni ili huyo unayedhani ni mwema uje uanze nae kutafuta.
 
Huyu binti alikuwa na mtu kabla na amerudiana naye na anaolewa soon lakini bado ana mawasiliano na mimi kitu ambacho sitaki! naomba ushauri nifanye nini ili kuwa mbali nae? nishamwambia lakini haachi kunisumbua!

mpe kampuni na hiyo biashara uone kama atakusumbua.....
 
Binafsi sijaelewa haswa anataka nini kutoka kwa wadau ambacho ameshindwa kukipatia suluhisho.
 
hii script inapatikana bongo movie pekee😂😂
mleta mada naona anatafuta jina la movie yake ya kiboya
 
Kwakuwa umeshasema wazazi wake hawakutaki hiyo ni kheri kubwa kwako.

Cha kufanya mwambie ukweli awe mbali na wewe kwakuwa wewe unaheshimu matakwa ya wazazi wake
 
Yaan umuachishe binti wawatu kazi halafu unaleta mbwembwe hapa.shame on you mxiiiiiuuuuu
 
tatizo la huyu jamaa, hapa limejificha, ameshindwa kujieleza kinagaubaga.......na kama hiyo biashara mlianzisha in legal way imekula kwako..... ninachoona hapa jamaa ana HASIRA na WIVU, hakujulishwa toka awali kwamba kuna mshikadau, keshajisaji, press conference ndo inasubiriwa.(harusi) sasa amepanik.......

USHAURI- nna hakika unampenda huyo SHE wako, mkae myaweke sawa, kwao wakutake wasikitake, maisha ni yenu wawili, watawakubali tuu.......funga ndoa fasta.......ila usifikirie ndoani kuna raha ----- ni vita ya kumalizia sehemu ya maisha yako...tumia busara kulitatua hili.
 
Back
Top Bottom