Inasikitisha sana. Unaweza ksema kuwa Tanzania hatuna utaratibu wa ukarabati baada yakubidhiwa mradi uliokukamilika mfano uwanja mpya wa taifa, hata nyasi zinatushinda kuzitunza hali tunapata mgawo wa michezo inayofanyika
Ni kweli mdau Riz. Zipo gesi kwa ajli ya matumizi ya viwandani kama kukatia na pia kuungia vyuma. Aina hii ya gesi huitwa acetylene (kitaalam) ambapo mara nyingi hutumika pamoja na gesi ya oxygen (yaani unakuwa na mitungi miwili, mmoja acetylene na mwengine oxygen). Pia gesi asilia (natural gas)...
Wana JF.
Ni kwamba mafuta ya petrol kwa kidhungu au kitaalam yanaitwa GASOLINE. Sasa hiyo gasoline ina 'grade' au madaraja.Daraja la kwanza ni premium ikifuatiwa na regular. Madaraja yote hayo yasipochanganywa na zebaki (lead) huitwa unleaded gasoline. Regular sio kwamba ni machafu kama wadau...
Wadau nahitaji vifaa kwa ajili ya kufanya wiring kwenye ka-ujenzi kangu (nyumba) ambavyo ni 'genuine and high quality'. Kwa mwenye taarifa wapi nitavipata, tafadhali nijuze, ikiwezekana na bei zake. JF hakuna kinachoshindikana!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.