Recent content by passionate 7

  1. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Why am I a bachelor?

    Badilisha iyo title mkuu, andika WHY AM I A BACHELOR?
  2. P

    JamiiForums Tanzania Wazungu tunaogombania nao dalalada wamemkosea nini mwenyezi Mungu?

    Siku moja ukiwa kwenye kitanda cha mauti yako utakuja kukumbuka na kujutia haya maneno yako huku ukilia kwa dhiki kuu iliyojaa uchungu, ndipo utatamani kirudi JF ili urekebishe ulichokiandika lakini utakuwa umechelewa. Ninakuombea neema utoke kwenye kifungo cha upofu, maana shetani amekupepeta...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kuapakia na kupakua taarifa mbalimbali

    Sh. Ngapi kwa mwezi mkuu?
  4. P

    JamiiForums Tanzania Ufadhili wa masomo kidato cha Tano na Sita

    Itategemea na performance yake (trend ya huko anakotokea)
  5. P

    JamiiForums Tanzania Ufadhili wa masomo kidato cha Tano na Sita

    Hakuna hela ya fomu! HAKUNA hela yoyote zaidi ya madaftari
  6. P

    JamiiForums Tanzania Ufadhili wa masomo kidato cha Tano na Sita

    Wasalaam! Bila Shaka hamjambo katika jukwaa hili. Kwa wazazi wenye watoto wanaotaka kujiunga na kidato cha tano. Taasisi ya Kanisa tunatoa ufadhili bure kwa wanafunzi wote wenye Daraja la Kwanza. (Division One) Ufadhili huu ni kwa miaka miwili (Form 5 & 6) Kwa TAHASUSI (combination) zote...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Weka taarifa za ada na ubora wa shule hapa ili kusaidia wazazi kufanya uamuzi sahihi

    Karibu kwa wanaotaka ufadhili wa masomo Advance!
  8. P

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Vipodozi vilivyopigwa Marufuku Tanzania

    MSAADA je Bronze nayo ni banned?
  9. P

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu: Serikali kuajiri kwa kuangalia kigezo Cha umri wa mwombaji na sio mwaka wa kuhitimu chuo

    Hili naona watu hawalioni. Si kila aliyechelewa kumaliza alikuwa anapiga mishe mtaani
  10. P

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu: Serikali kuajiri kwa kuangalia kigezo Cha umri wa mwombaji na sio mwaka wa kuhitimu chuo

    Solution katika Hili. Waruhusu wote wenye sifa waombe kuanzia mwaka 2015-2021
  11. P

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu: Serikali kuajiri kwa kuangalia kigezo Cha umri wa mwombaji na sio mwaka wa kuhitimu chuo

    Vizuri. Lakini je watoto hao waajiriwe pasipo kuweka kigezo hata kimoja? Au watoto hao waajiriwe kwa kuzingatia GPA 3.0+
  12. P

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu: Serikali kuajiri kwa kuangalia kigezo Cha umri wa mwombaji na sio mwaka wa kuhitimu chuo

    Amina Nani watalalamika wakati wote watakuwa wamepewa fursa ya kuomba?
Back
Top Bottom