Recent content by paschal Martin

  1. P

    JamiiForums Tanzania Netanyahu aondolewa Uwaziri Mkuu

    Hivi Hitler alikuwa mpalestina ?mbona wafia dini wanamsifu kama shujaa wao aliyewaua wayahudi
  2. P

    JamiiForums Tanzania Jerusalem: Sababu tatu za kuzuka kwa ghasia kati ya Wapalestina na Wayahudi

    Wewe ndio unajua binadamu wenzako wa kukaa motoni je wewe utakuwa wapi ukifa usifurahie vifo vya wenzako mpuuzi wewe
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Amani yapiga marufuku Magufuli kuitwa "Mwendazake", Wametumia sheria gani?

    Chadema acheni unafiki huyo askofu Manakula anavyochanganyaga siasa na dini mbona hamuhoji
  4. P

    JamiiForums Tanzania Ipo haja ya kumuombea Magufuli msamaha, lawama ni nyingi mno

    Shujaa jpm hawezi kuwaomba msamaha vyeti feki,mafisadi,wala rushwa,wauza madawa ya kulevya,wakwepa kodi,watakatishaji fedha,majambazi,wazulumati,wanyonyaji ndio wanae mlaumu
  5. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza Darasa la Saba waliofutwa kazi walipwe stahiki zao

    Naona hawa vyeti feki waliotumbuliwa wanataka kujiongeza ili walipwe Mama amesema darasa la saba tu wasiofoji vyeti
  6. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza Darasa la Saba waliofutwa kazi walipwe stahiki zao

    Hao vyeti feki walishtakiwe kwanza kwa kugushi vyeti kisha wakitoka jela watalipwa msisitetea uhalifu kwa mgongo wa siasa
  7. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza Darasa la Saba waliofutwa kazi walipwe stahiki zao

    Vyeti feki atalipwaje wakati alidanganya na alifanya kazi chini ya kiwango
  8. P

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Naftali Bennett, Waziri Mkuu mtarajiwa wa Israel

    Kweli yaani magaidi wa kipalestina wanapoirushia Israel maroketi na kuwachoma visu mayahudi dunia ipo kimya lakini Israel ikijibu mashambulizi dunia yote itapiga kelele na kuilaani Israel inawakandamiza wapalestina
  9. P

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Naftali Bennett, Waziri Mkuu mtarajiwa wa Israel

    Kwani Iran kutokuwa mwarabu ndio hapigiki au Ukiwa sio mwarabu ndio unashinda vita hizi fikra za kitoto sana mnazodanganyana radio Imani
  10. P

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mahakama imeahirisha kusoma hukumu ya Mdude Nyagali hadi Juni 28, 2021

    Kila mtu ataozea kaburini hata siku zako za kuozea zinasogea kila kukicha usiongee Kama kifo hakikuhusu
  11. P

    JamiiForums Tanzania Kikundi kipya kilichoundwa na Iran huko Iraq chaapa kuikomboa Milima ya Golan ya Syria

    Ila hao magaidi wajifiche kwenye maeneo ya raia wakati wa mapigano ili wapate huruma za kimataifa kwamba Israel inashambulia raia
  12. P

    JamiiForums Tanzania Israel siyo taifa teule

    Hivi huu uzi uliandika baada ya kumaliza kuvuta bangi
  13. P

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Dkt. Kikwete akutana na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania

    Ila sijawahi kuwaona watu wanafiki kama chadema walimwita Kikwete dhaifu leo wanamsifia yupo vizuri
  14. P

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU mnasubiri nini kumkamata na kumchunguza Makonda?

    Ila Mimi ninaomba takukuru wamchunguze Mbowe hizo tuhuma za ruzuku ya chadema, wabunge kukatwa 500000 na viti maalumu 1000000 kuchangia pamoja na rushwa ya ngono kwa wabunge wa viti maalumu
  15. P

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU mnasubiri nini kumkamata na kumchunguza Makonda?

    Hata wewe ipo siku Mungu atakungoa nawe roho yako
Back
Top Bottom