mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,066
- 39,511
kwanza huo ubini nilikuwa nadhani jamaa labda ni mmatumbi eti netanyahu.Akae na familia sasa alee vitukuu,maana tangu nianze kumsikia nikiwa shule ya msingi aisee
kwanza huo ubini nilikuwa nadhani jamaa labda ni mmatumbi eti netanyahu.Akae na familia sasa alee vitukuu,maana tangu nianze kumsikia nikiwa shule ya msingi aisee
Kijana umepotea kule kwy uzi wetu hahahaha haha haha Rudi bwana, hahahahaAkae na familia sasa alee vitukuu,maana tangu nianze kumsikia nikiwa shule ya msingi aisee
Kijana umepotea kule kwy uzi wetu hahahaha haha haha Rudi bwana, hahahaha
nipo chief nitarudi tu usijaliNa huo ndio utakuwa mwisho wa Dunia sasa ,Masihi anarudi kuchukua walio wake,usiseme hukuambiwa,Israel ni saa ya DuniaThat ---I suppose --- will be the starting point for Israel to perish.
Many Westerners are fed up with Israel cunninngs,brutality etc. It is only their governments which support the barbaric zionist regime.
Na huo ndio utakuwa mwisho wa Dunia sasa ,Masihi anarudi kuchukua walio wake,usiseme hukuambiwa,Israel ni saa ya Dunia
amekaa madarakani miaka 12. not that longAkae na familia sasa alee vitukuu,maana tangu nianze kumsikia nikiwa shule ya msingi aisee
Game inachezwa na iran.? nopeHa ha ha ha vipi kuhusu ndoto yake ya kuvishambulia vinu vya nuke vya iran huyu ndio kiongozi aliyeitia aibu ndani ya utawala wake wapiganaji wa hamas wamefanikiwa kuiteka gaza sasa mdaa huu anarudi uraiani pia hii game inachezeshwa na iran kwanza mchezo ulianzia kwa trump now umemalizikia kwa netanyau msicho kijua ni majasusi wa iran wapo kazin
after all he was former special forces ( member of sayaret maktal) israel teir 1 special unit.Humjui Benet wewe hapo waarabu walaani sana Naftali Bennett kuchaguliwa maana wanamjua View attachment 1817931
ni former veteran. amepigana vita vingi kabla ya kuingia kwenye siasa.angekuwa anaingia vitan yeye peke yake sawa lakin kama anawatumia wanajeshi wa israel tulio wazoe basi hakuna jipya hapo
OK lakini nadhani kinachofanya asipotee masikioni ni ile kutoka na kurudi labdaamekaa madarakani miaka 12. not that long
Na hicho ndicho kilikuwa kinamfanya atake kug'ang'ania madarakani - hivi sasa hana ujanja atafungwa tu.Hakuna mapumziko ana kesi ambazo hazikuanza mchakato wa kimahkama kutokana na hadhi yake ya upm kwa vile kaacha ofis analazimika kukabiliana nazo mpaka kieleweke.
Siasa ya Jerusalem mtu akistaafu Jela inamuhusuAkae na familia sasa alee vitukuu,maana tangu nianze kumsikia nikiwa shule ya msingi aisee
Hivi Hitler alikuwa mpalestina ?mbona wafia dini wanamsifu kama shujaa wao aliyewaua wayahudi"And Hitler killed many Isralites and there is no problem with that"
Mokaze Quote.
Hivi Hitler alikuwa mpalestina ?mbona wafia dini wanamsifu kama shujaa wao aliyewaua wayahudi
Tembo hachoshwi na pembe zake
Yaani waisilamu watu wa hovyo sana na hiyo Imani yenu ya kishetani hivi kwanini mnapenda kuwaita wakristo majina ya ajabu ajabu as if ninyi mnamkataba na MUNGU kuwa mko sahihi kwenye ibada zenu?? Magaidi wote duniani ni waisilamu ajabu mnajiona mko karibu na Mungu kuliko dini zotehuyu kafir naona alikua anaua Waislam wa mwisho mwisho laanatullah huyo
kwani KAFIR maana yake nini?Yaani waisilamu watu wa hovyo sana na hiyo Imani yenu ya kishetani hivi kwanini mnapenda kuwaita wakristo majina ya ajabu ajabu as if ninyi mnamkataba na MUNGU kuwa mko sahihi kwenye ibada zenu?? Magaidi wote duniani ni waisilamu ajabu mnajiona mko karibu na Mungu kuliko dini zote