Recent content by park chul

  1. park chul

    Naomba nifundishwe namna ya kubembeleza wanawake jamani

    Hahahaa nyie ndo mnasema panua niingizee???
  2. park chul

    Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

    Poa kk ngoja nipumue kdg imenikera aisee ka boom kangu nilijinyima alaf ikazingua daaah.ila pa1 sana
  3. park chul

    Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

    Sawa kk we nenda nayo mi Niko nyuma mwendo wa kasa si mwendo lakin unamfikisha anapotaka...!!!
  4. park chul

    Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

    Hata hiyo nnayokwambia system nj hiyo hiyo lakin sijui wanacheza na demand and supply of coin
  5. park chul

    Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

    Sawa ndugu lakin 4 my side kufany tena izi business ambazo hazionekani bora ufanye kilimo uone kabixa maybe mvua imezidi mavuno yakawa kidogo na unaona mwenyew kuliko hizi lakin si mshauri MTU asifanye ila ni mtazamo wng tu mana nishajaribu ni kaona kwhy sio mgeni wa mamb hayo.asante kaka
  6. park chul

    Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

    Mmh haya mamb km ya kitapeli tapeli wazungu wanatuibia kwa akili nyingi wanatufany kuwa fursa kwao. Mwaka Jana December 28 nilijiunga na onelife onecoin nikatoa hela zangu nikaambiwa baada ya miez miwili mamb yatakua Tayar. Duh ikafika Mara miez mi 4.. Hakuna kitu saiv nisakaata...
  7. park chul

    Remove sex from a relationship, women have nothing to offer. Is it true?'

    Duuuh mbn kama kwl vile Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
  8. park chul

    Alivyoleta dalili za kuniacha nikamwekea (Sanction ) vikwazo kama Marekani,sasa analia

    Hahahaaa iyo Kali nimeipendaaaa Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
  9. park chul

    Nimejaa hofu kwa nilichokishuhudia kwa mpenzi wangu

    No wanaojua hiyo lugha ya kiarabu wamueleweshe mana mi mwenyew sijui kwa kwel lugha hiyo.m.
  10. park chul

    Yanga ikifungwa Jumamosi natembea bila nguo

    Kakutembea uchi haya Leo route unaanzia WAP?? Hahahaaaaaa
  11. park chul

    Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

    Hahaaaaaaa....!!! Au inaonekana unasoma course ambayo huiwezi...!!??
  12. park chul

    Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

    Una GPA ya ngap ?? Kwm kwny remarks wamekuandika supp sio disc... Bac jipange uka uka sapue wakitoa ratiba nadhan almanac ya chuo chenu unayo....!!!
  13. park chul

    Msichana aliyenikataa leo kanipigia simu

    Sio kipindi hichiii
Back
Top Bottom