Huli papuchi siku hizi?Katika maisha yangu,demu akinitosa huwa ninaendelea na maisha yangu.KWANI HUWA NINAAMINI,MUNGU WETU ANAKUWA AMENIEPUSHA NA JAMBO.NAUACHA MOYO WANGU USUKUME DAMU TU.POLE SANA NDUGU,KUNA KIPINDI NILIYUMBA NIKAAMINI KUMBE HELA NDIO ZINAWANYA HAWA VIUMBE WATUPENDE.SASA HIVI,WANAJILETA NA SITAKI MAZOEA YA KIPUMBAVU.SI DEAL NAO,NAFANYA YANGU TU.
Mkojo wa alfajiri haukusumbui na kupelekea kuwatafuta?Katika maisha yangu,demu akinitosa huwa ninaendelea na maisha yangu.KWANI HUWA NINAAMINI,MUNGU WETU ANAKUWA AMENIEPUSHA NA JAMBO.NAUACHA MOYO WANGU USUKUME DAMU TU.POLE SANA NDUGU,KUNA KIPINDI NILIYUMBA NIKAAMINI KUMBE HELA NDIO ZINAWANYA HAWA VIUMBE WATUPENDE.SASA HIVI,WANAJILETA NA SITAKI MAZOEA YA KIPUMBAVU.SI DEAL NAO,NAFANYA YANGU TU.
Kuandikishiana wapi, kwa wakili ama wapi?Mjibu simple tu, tunaandikishiana na riba juu! Akikubali Fanya nae business but usijichanganye tu.
Haina haja labda kama ana mpango wa kurudiana naye baadae. Hata huyo msichana anajua kuwa anamuwekea mtego wa kumrudia.Mkuu onesha uanaume na hujali yaliyopita
mpe hiyo hela halafu sikilizia kifuatacho!
Utuletee mrejesho
Mkuu hiyo unaona baraka! Basi hukuwa na sababu ya kuomba ushauri ungempa hiyo laki tano.Kanipigia leo asub. hii nikaona J2 ya leo nimeamka na baraka, siku zote huko nyuma kila nilipokuwa nikimpigia simu hakuwa anapokea, nimeamini shida haina adabu ...
Kimbia hapo utaliwa, akawii kusema unamtaka muda wa kudai ukifika. Kama vipi alete 'collateral'Mi mwenyewe kuna mke wa mtu kaniomba nimkopeshe laki tano.. Nukimpa aranirudishia kweli, au atanilipa 'kivingine'?