Recent content by Parincho

  1. Parincho

    Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

    Kumbuka ule ulikuwa ni mtihani wa dini haina hata haja ya index no.
  2. Parincho

    Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

    Hongera ndalichako sisi tunskupokea kwa mikono miwili ila tafadhalii kuwa makini na kompyuta hzo hspo wzarani mama
  3. Parincho

    Je, Kuna watu maalum wanaotakiwa kurejesha mkopo wa elimu ya juu?

    Sisi wote tupo serikalini, nashindwa kuelewa, nahisi hili nalo ni jipu lingine
  4. Parincho

    Je, Kuna watu maalum wanaotakiwa kurejesha mkopo wa elimu ya juu?

    Kaka hapo umenena vema mi nnavyokwambia mkoa mmoja na bado hawakatwi na maisha haya hawakusubiri hats tujipange
  5. Parincho

    Je, Kuna watu maalum wanaotakiwa kurejesha mkopo wa elimu ya juu?

    Mkuu nnao kuna watu tuneajiriwa nao mwaka jana hadi leo hawakatwi tena mkoa mmoja sems halmashauti tofauti
  6. Parincho

    Je, Kuna watu maalum wanaotakiwa kurejesha mkopo wa elimu ya juu?

    Ni muda mrefu sasa nimekuwa nikijiuliza swali hili maana ni mwaka sasa umepita tangu niajiriwe nakatwa kiasi flani kama marejesho ya deni hilo na hili lilifanyika miezi mitatu tu baada ya kuajiriwa, yaani hata sijajipanga tayari wameshaupunguza mshahara, ila ni vizuri kwani wengnie maskini kama...
  7. Parincho

    Mimi mwalimu,Mafanikio niliyoyapa mwaka 2014 na ya 2015 na matarajio yangu 2016

    Msimuhukumu inawezekana ni mkuu wa shule so lile jipu alilolitumbua magufuli la elimu bure kwa kutoa michango ambayo baadhi ya wakuu ilkuwa ndio dili lao inawzezekana kabisa hvyo vyumba vlivyobaki ikawa ndo majaaliwa tena
  8. Parincho

    Moshi wa bangi ukeni

    Mwsho ztabwia unga zianze kupga debe ktandan dah dunia imevaa koti kwa baridi kali la maovu
  9. Parincho

    Ukaguzi wa vyeti feki Serikalini umeanza rasmi, waanza na Walimu

    Tunaomba kwanza wawakague baadhi ya madiwan mana inaonekana ni mtihani
  10. Parincho

    Dr. Hamis Kigwangalla afanya ziara ya kushtukiza Hospitali ya Amana

    Mkuu nape nackia alifanya ziara ya kushtukiza ktk mechi ya simba na azam
  11. Parincho

    Dk. Joyce Ndalichako atosha wizara ya elimu

    Kwan hao aliowateua aliwaomba ushauri? Au mmetumwa? Kwan yeye hamjui? Hata hvyo kama aliondolewa kwa kashfa ya kibaguzi tena ya kdn ambayo ni hatar si busara kumrejesha watendaji wazuri wapo wengi endelea na upembuzi wako yaknifu mr prezdaa
  12. Parincho

    Mh. Magufuli walimu wanaojiendeleza wana kosa gani?

    Mwalimu eeh! Mbona unaiabisha taaluma kiasi hiki mbona hueleweki unataka nn hasa dah!!!!
  13. Parincho

    CHUMBA KIMOJA...baba, mama na watoto. Umaskini hatari!!!

    Ha ha ha ha haaaaa duh huyo dogo kw hacra unamtoa alale nje mpaka asubuhi mana keshakua ati!
  14. Parincho

    Majina yanayobeba mengine

    4MARAISI Kuna mzee wa ujamaa na kujtegemea, mzee wa rukhsa, mzee wa ukweli na uwazi, mzee wa maisha bora kwa kila mtanzania na huyu MTUMBUA MAJIPU
  15. Parincho

    Mkuu wa Mkoa wa Dar amsihi Manji kuachia ufukwe wa Coco Beach

    Jaman nyi mabepari em kuen na chembe ya ubnadam hata km kutafuta hela c kihivyo mnataka kumkamua ndama maziwa? Tuachien ufukwe wetu wa kujdai som tym tunatoka mburahat,manzese,tandka,mbagala,tandale n.k kujrusha hata kw mguu tunaenda
Back
Top Bottom