jacjaz
JF-Expert Member
- Sep 7, 2011
- 440
- 209
Hii sio sahihi..usiwe mgumu wa kuelewa
Sio sahihi kivipi?!! Wakati dume,salama,rough rider zote ni kondoms!??
Hii sio sahihi..usiwe mgumu wa kuelewa
1. Mfano sheli (kampuni ya mafuta).Ziko Total, Lake oil, BP, etc. (Niache hapo sheli)
2. Bajaji. ziko tvs, etc
3. Ongeza. Mi nimeishiwa
Acha utani. Kuna brand inaitwa chupi?Chupi kuna bikini, boxer, kufuli, bukta ....
Acha utani. Kuna brand inaitwa chupi?Chupi kuna bikini, boxer, kufuli, bukta ....
Mafisadi kuna chenge tibaijuka ngeleja jk rz1 karamagi
Umesahau riz1
Chupi kuna bikini, boxer, kufuli, bukta ....