Recent content by parasol

  1. parasol

    Sina amani na mzazi mwenzangu, natamani kumuacha ila namhurumia mwanangu

    Alivyo kiuhalisia,hali imesababishwa na wew,,emotions za wanawake ni rahisi kuzitoa nje,pale unapokuwa umemuudhi,,sasa we badilisha ,utaratibu,badilisha,unavyomtreat,na yeye automatically atabadilika,unaposema ukimuudhi kidogo yeye ni matusi,,kwa upande wako unaona ni kidogo,Ila kwake ni...
  2. parasol

    Natafuta kazi ya salon ya kike mikoani

    0744646335 au 0653171987 wasiliana na hao mkuu
  3. parasol

    Kama upo kwenye mahusiano miaka 2 na msichana na hujaona chozi lake, huyo hana mapenzi ya kweli

    Mmh hamjamuelewa mtoa mada. Mtoa Mada inaonyesha ni mwana psychology.. Kuna kitu cha kihisia anajaribu kukizungumzia.... Na Kama mnajaribu kusema huwa ni maigizo.. Manake bhasi hicho kitu really kipo.. Hapo Ndo imitation ya iyo reality inakuja kwa wabongo lakin.. Sent using Jamii...
  4. parasol

    Nayaonea huruma maisha niliyochagua kuishi

    Maamuzi mazuri. Sana maishani... Na hii inatokea pale umepata mvurugano na mambo uloyapanga maishani hayakuwa ivo... Unajckia kuwa kwwnye hiyo hali.. Ila mambo yakiwa poa... Utakuja kujckia pia kurudia ya zmani.. Mana haya ya saiv cyo real.. Ni due to internal...
  5. parasol

    Msaada: Chuo kipi kinatoa digrii nzuri ya sheria

    Ila nlichogundua kwenye kazi mkuu kipaumbele Ni Ud hâta kama wa chuo kingne kakuzidi GPA ndo mambo nlokutana nayo... Kwa hiyo kuna kitu cha itofauti hapo ila point nataka unielewe Ni elimu pâle hai bebi bebi hicho cha mcngi.. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. parasol

    Msaada: Chuo kipi kinatoa digrii nzuri ya sheria

    Nin hujakielewa hapo.. Simaanishi one au two au nin.. Namaanisha ü serios katk vyuo ud namber one.. Waulze UDSoL watakupa mchapo vzur.. Nakijua nmegraduate hapo hiyohiyo Sent using Jamii Forums mobile app
  7. parasol

    Msaada: Chuo kipi kinatoa digrii nzuri ya sheria

    No mkuu... Présentation si in groups kila grup na siku zao af law hawapo wengi wachache sana... Issue ni kuwa ya ud inaonekana ngumu mana inakazwa sana... Afu hawabebi bebi watu yan... Hujui hujui... Inahitaj commitment la sivo utabak unalialia kuhama chuo Sent...
  8. parasol

    Kamwe usiyavumilie mambo haya kwenye mahusiano yako

    Ya pili umeikosea. Mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. parasol

    TCU Guide Book hii hapa imetoka (PDF)

    Udsm MD ipo Sent using Jamii Forums mobile app
  10. parasol

    Ushauri: Nachoka kabisa, nikianzisha mahusiano na mwananume mwingine bado nakuwa nae

    Cha Kufanya ni kutubu kwa Mungu.. Na kuwa karibu na Mungu... Na hii itapelekea kuwa na hofu ya Mungu ambayo utashndwa Kufany dhambi iyo na yeye! Kwani Mungu atakuondolea kiu ya dhambi ambayo shetani Alikuw anakupa... Na dhambi ya uzinz Utaion Kama MA... Na hapo mhimili...
  11. parasol

    Tumeachana kwa maneno makali na matusi juu, vipi kuna chance ya kurudiana baadaye?

    Inawezekana mkuu. Only that.. Mlkuw mnapndna.. Upendo husahau yote.. Wala hauhesabu mabaya. Pia upndo huvumilia.. But Kama hamna true love apo it ain't be.. Hata ikiwa inakuw kam ku enjoiana huku mna vsasi lukuki Sent using Jamii Forums mobile app
  12. parasol

    UTAPELI: Kampuni ya D9 (DNINE) ni kina nani? Nani kawapa kibali cha kazi Tanzania?

    D9 iko poa zaidi... Hela znakujia ukiwa hata umelala. Nli invest saiv nna faida ya mil 10 na bado mwaka haujaisha Sent using Jamii Forums mobile app
  13. parasol

    Sikujua kama kuna wasichana wa aina hii, kiukweli mshikaji kapata

    Really great thinker Post sent using JamiiForums mobile app
  14. parasol

    Sikujua kama kuna wasichana wa aina hii, kiukweli mshikaji kapata

    Cwez katu.. Bora nipeleke vituo vya watoto yatima.. Khaah!!!! angekua mume hapo sawa ,,hata Zote ningempa Post sent using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom