Recent content by Paragumu

  1. Paragumu

    CRDB tawi la Kaliua rekebisheni hili

    Crdb benki sisi ni wateja wenu na mnajua kabisa bila sisi wateja mambo yenu yatakwama, sasa hapa Kaliua hali ni tete hususani kwenye utoaji huduma. Mfano ni leo tarehe 05.06.2023 hapa tawini kuna wateja wengi hasa kutokana na wananchi wengi kulipwa malipo yao ya fedha za tumbaku sasa...
  2. Paragumu

    Kama unataka kuondoka kwenye umasikini, waepuke masikini kama ukoma

    Dk Makirita bado una kazi kama mitazamo ya watu ndio kama hii mmmh kuna safari ndefu bado ya watu kupata ufahamu wa Elimu ya Maisha na Mafanikio!
  3. Paragumu

    Mama bado anaupiga mwingi?

    Great Thinker!!
  4. Paragumu

    Wizara ya Afya yamtafuta mtaalamu aliyefumua jeraha la mgonjwa baada ya kushindwa kulipa hela

    Umeongea vizuri sana hatuna budi kujiuliza pia,huenda kuna shida huko kwenye hayo maeneo ya kutoa huduma za afya. Pasi na shaka yanayozungumzwa huku kwetu wananchi ni tofauti na maelekezo wanayokutana nayo watendaji katika maeneo yao ya kazi. Nalaani kwa nguvu zote hilo tukio lililokosa utu na...
  5. Paragumu

    Open Letter: Rais Samia, TRA isiyo na Support yako, ni Kifo cha Taifa

    Kama nimekuelewa hivi hasa hapo uliposema "TASK FORCE" hii ilitumika vibaya, ilinyanyasa na kudhulumu sana wafanya biashara,maana watu walifinywa na pesa kuchukuliwa kwenye akaunti zao bila huruma wakidhani kila mwenye pesa basi kaiba au kakwepa kulipa kodi njia ambayo haikuwa sahihi.
  6. Paragumu

    Azam decoder chaneli nyingi zisizo na maana

    Lakini pia Azam wana tatizo kubwa la kuto update chaneli zao baada ya kulipia na hasa ukilipia siku ambazo muda wa kifurushi umeisha. Wawe systematic kama ving'amuzi vingine mbona DSTV hata kama muda umeisha lakini ukilipia hawachelewi kuwasha lakini Azam ni KEEEROOOOO
  7. Paragumu

    Naomba kufahamu vyeo vya TANAPA

    Tuko busy na Corona kwanza achana na hayo mavyeo bandia hakuna kitu hapo nyota zinazoeleweka ni JWTZ peke yake. Hayo manyota mengine ni utumbo tu! Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Paragumu

    Barabara inayoelekea Kijiji cha Usinge Wilayani Kaliua haifai

    Nikiwa kama mdau wa maendeleo ninaezunguka maeneo mbali mbali nchini naomba mamlaka zinazohusika zifanyie kazi hiyo Barabara inayounganisha Kijiji cha Usinge kilichopo Wilayani Kaliua na Barabara kuu inayotoka Tabora kuelekea Kigoma katika center inayoitwa Kibaoni maarufu kama njia panda ya...
  9. Paragumu

    Mshahara wa mwezi Februari mbona umechelewa?

    Tayari mzigo mm nimeshamaliza,na nimeomba salary advance imegoma sasa home leo msala dadadeki!! Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Paragumu

    Kitete Hospitali Tabora wameniulia mtoto wangu kwa uzembe

    Mungu hawezi kuwa na mipango ya kipuuzi ya namna hiyo,tuache kumsingizia Mungu bhanaaa,makosa mengine ni watu kutokuwa serious na professional zao. Hivi mnadhani Mungu ni mpuuzi kiasi hicho kila kifo basi ni kumsingizia yeye tu!! Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Paragumu

    Kitete Hospitali Tabora wameniulia mtoto wangu kwa uzembe

    Bila kupepesa macho naomba Waziri Ummy Mwalimu uifuatilie kwa karibu sana Hospitali hii ya Kitete kuna uzembe sana hapo kuna Mpiganaji namfahamu alipata madhara akiwa kazini kwa kujeruhiwa na risasi na majangili lakini mauti yalimkuta akiwa hapo kwa uzembe wa wazi wazi kabisaaaa,kwa wanaoijua...
  12. Paragumu

    Katika hali ya kushangaza, Watanzania wawili wazichapa kavukavu kisa mgogoro wa Iran na Marekani

    Sawa tumekupata lakini usiwe unakaa kwenye vijiwe vya kupoteza mawazo,mawazo huwa hayapotei ukiboreka soma vitabu,sikiliza video zakukujenga kifikra,tafuta namna ya kupata maarifa mapya achana na hao wapuuzi wanaokaa vijiweni kupoteza mawazo na kupiga soga!! Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Paragumu

    Gazeti la Jamhuri: Siri ya ugomvi wa Dk. Kigwangalla na Profesa Mkenda hadharani

    Kwa namna tunavyokwenda kipindi hiki sidhani kama yanayoandikwa kwenye bajeti zetu ndio yanayofuatwa,naona kila mmoja anajikurupukia tu kufanya mambo. Twendeni tu hivyo hivyo si ndio tulivyoamua tutafika tu yakiharibika tutarekebisha mbele ya safari. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom