Katika hali ya kushangaza, Watanzania wawili wazichapa kavukavu kisa mgogoro wa Iran na Marekani

5997

JF-Expert Member
Jan 19, 2019
514
1,204
Kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni,

Nilikua mitaa ya kitangiri madukani hapa Mwanza kwenye kijiwe kimoja cha kupotezea mawazo,

Aisee imeanza kimasihara tu ubishi ubishi kati ya Iran na USA nani mbabe,
Kitu cha kushangaza mabishano haya yameingiza hadi udini jambo ambalo ni hatari kabisa,

Jamaa mmoja asiye mstaarabu ameanza kuingiza na mambo ya ukafiri kwenye haya mazungumzo sasa kauli hii iliwaboa watu jamaa amejikuta akila kichapo kwa sekunde kadhaa kabla ya raia wema kwenda kusuruhisha,

Nilichogundua kuna watu bado ni wajinga hii nchi yaani mambo ya Iran na U.S.A ndio watu wanatwangana?

Halafu nimegundua kuna watu hawana akili kabisa na wamekalilishwa udini usio na tija na hawajui mabishano yaani mabishano ya kawaida tu lakini mpaka mtu kaiingiza udini na mambo ya ukafiri tena, huyu jamaa nilikua namvutia wangemchelewesha ningemtandika mimi,

Tuacheni ushamba wa kidini watanzania

Vita iko mambele lakini wajinga wachache eti wanapigana

Amaa kweli hii ni wedi war III
 
Ukiona mtu anendekeza sana udini ujue anatumia akili ambazo si halali yake.

Asili ya mwanadamu ni kumpenda mwenzake bila kumbagua kwa namna yoyote ile.
Baada ya upendo wa sisi kwa sisi utafuata mwingine ambao kila mmoja ni kama ulevi kwake.
Kuna wanaopenda wanyama, midoli, wengine pesa zaidi, n.k.
Ushamba tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Habari
 
Kuna dini moja inafujo sana
 
Kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni,

Nilikua mitaa ya kitangiri madukani hapa mwanza kwenye kijiwe kimoja cha kupotezea mawazo,

Aisee imeanza kimasihara tu ubishi ubishi kati ya Iran na USA nani mbabe,
Kitu cha kushangaza mabishano haya yameingiza hadi udini jambo ambalo ni hatari kabisa,

Jamaa mmoja asiye mstaarabu ameanza kuingiza na mambo ya ukafiri kwenye haya mazungumzo sasa kauli hii iliwaboa watu jamaa amejikuta akila kichapo kwa sekunde kadhaa kabla ya raia wema kwenda kusuruhisha,

Nilichogundua kuna watu bado ni wajinga hii nchi yaani mambo ya Iran na U.S.A ndo watu wanatwangana?

Halafu nimegundua kuna watu hawana akili kabisa na wamekalilishwa udini usio na tija na hawajui mabishano yaani mabishano ya kawaida tu lakini mpaka mtu kaiingiza udini na mambo ya ukafiri tena, huyu jamaa nilikua namvutia wangemchelewesha ningemtandika mimi,

Tuacheni ushamba wa kidini watanzania

Vita iko mambele lakini wajinga wachache eti wanapigana
Natafakari Afrika na Burma wapi na wapi?Nini kilicho sababisha babu wetu kwenda kupigana vita ambavyo havijawahusu?
 
Mtaa huo tena umeukosea jina mbona sijaona wakipigana?mleta mada leta ushaidi leo nimezunguka kutoka kule pharmacy hadi kwa waha sijaona hicho kipigo wala hakijaripotiwa popote
 
Mkuu kwako una rada ya ku tazama mtaa mzima?.
inaweza kuwa wamepigania uani kwako, lakini we ulikuwa bize na kuuza mkaa ndo maana ukisikia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwarabu mtu wa ajabu mwafrika akifa hatoi hata tamko .Somalia Ni Waislamu wanauana mwarabu kakaa kimya,Rwanda Mamilioni walikufa hakutoa tamko lolote

Lakini yeye akipigwa anataka misikit yote Duniani itoe tangazo na taarifa ziwafikie Waislamu wote kwenye kila msikiti walipo!!! Na kila mwislamu akipata hiyo taarifa amtaarifu mwislamu mwenzie
 
Mwarabu mtu wa ajabu mwafrika akifa hatoi hata tamko .Somalia Ni Waislamu wanauana mwarabu kakaa kimya,Rwanda Mamilioni walikufa hatoi tamko.lolote Lakini yeye akipigwa anataka misikitini yote Duniani itoe tangazo na taarifa ziwafikie Waislamu wote kwenye kila msikiti walipo!!!
Halafu waarabu wakichafua nchi yao wanakimbilia kwa wazungu, ulaya au USA huwezi kusikia wamekimbilia Saudi Arabia
 
Kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni,

Nilikua mitaa ya kitangiri madukani hapa Mwanza kwenye kijiwe kimoja cha kupotezea mawazo,

Aisee imeanza kimasihara tu ubishi ubishi kati ya Iran na USA nani mbabe,
Kitu cha kushangaza mabishano haya yameingiza hadi udini jambo ambalo ni hatari kabisa,

Jamaa mmoja asiye mstaarabu ameanza kuingiza na mambo ya ukafiri kwenye haya mazungumzo sasa kauli hii iliwaboa watu jamaa amejikuta akila kichapo kwa sekunde kadhaa kabla ya raia wema kwenda kusuruhisha,

Nilichogundua kuna watu bado ni wajinga hii nchi yaani mambo ya Iran na U.S.A ndio watu wanatwangana?

Halafu nimegundua kuna watu hawana akili kabisa na wamekalilishwa udini usio na tija na hawajui mabishano yaani mabishano ya kawaida tu lakini mpaka mtu kaiingiza udini na mambo ya ukafiri tena, huyu jamaa nilikua namvutia wangemchelewesha ningemtandika mimi,

Tuacheni ushamba wa kidini watanzania

Vita iko mambele lakini wajinga wachache eti wanapigana
Sawa tumekupata lakini usiwe unakaa kwenye vijiwe vya kupoteza mawazo,mawazo huwa hayapotei ukiboreka soma vitabu,sikiliza video zakukujenga kifikra,tafuta namna ya kupata maarifa mapya achana na hao wapuuzi wanaokaa vijiweni kupoteza mawazo na kupiga soga!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu waarabu wakichafua nchi yao wanakimbilia kwa wazungu, ulaya au USA huwezi kusikia wamekimbilia Saudi Arabia
Uko sahihi hata wapalestina huzuiwa na nchi za kiarabu kukimbilia nchi zao.
Wapemba 2011 walipoleta fujo kikainuka wengi walitaka kukimbilia uarabuni nchi za kiislamu wakagomewa wakaiishia kuwa wakimbizi Mombasa hapo baadaye wengi waliishia kurudi kimya kimya kwa aibu na unyonge wa Hali ya juu
 
Back
Top Bottom