Recent content by Paradisehome

  1. Paradisehome

    JamiiForums Tanzania Labda mimi ni ushamba na ulimbukeni wangu lakini kidume kubeba mkoba namna hii kama hivi ni trash

    Hata yy aliyah Sema kuwa hata wanawak anaotoka nao,yaan fujo za kimahusiano zinalenga kuvuta masikio ya wateja hakuna la ziada,utasikia kamzalisha fulan,leo yuko na fulani ect
  2. Paradisehome

    JamiiForums Tanzania Wakuu nimerejea tena kutoka sayari ya mbali baaya kupotea kwa mda wa miaka miwili

    Uwezo wa kupita sehem bila kuonekana!!!
  3. Paradisehome

    JamiiForums Tanzania Nataka kufungua Kiwanda cha Peanut Butter, naombeni uzoefu!

    Kana bei gani mkuu? Naona kanafaa kwa watu wa miji midogo
  4. Paradisehome

    JamiiForums Tanzania Kutembelea nyota ya mtu mwingine

    Kama kweli umedhamiria, Changanua DNA hizo huchafuliwa na CHANJO? Maana japo mm sikuhusika na chanjo kupingana lkn bado watoto,vyakula,dawa ect vyaweza kuchafua hali ya hewa Watu kutembelea nyota ya mtu mwingine kwa nn usiewek waz km ulivyoanza....km sivyo yanarudi pale pale mganga anakupa...
  5. Paradisehome

    JamiiForums Tanzania Haya ni masharti ya waganga ili uwe tajiri wakutupwa , je utaweza?

    Haya yote ukiyachunguza wengi wa walioandika ni vile hawana ndoto kubwa na kutaka kufikia kilele cha mfanikio, Unasema waganga kuwa ni akili finyu Wasomi wetu...why miaka fulani albino waliteseka? Why kila wakati wizara zinakula hasara? Why biashara ya viungo inachangamka mpk unashangaa...
  6. Paradisehome

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua juu ya biashara kukoboa na kusaga nafaka (mahindi)

    Mkuu shukrani kwa udadavuzi,,,,Kuna myu nimeona anaunda mashine yaani 2 in one,,,,j umewah sikia hiyo kitu?
  7. Paradisehome

    JamiiForums Tanzania MASHINE PORTABLE YA KUSAGA NA KUKOBOA INAUZWA

    Mkuu vip ufanyaj kazi wa hizi waweza kuniunganisha na mojawapo ya wateja wako nipate feedback
  8. Paradisehome

    JamiiForums Tanzania Mabraza mliofanikiwa, tupeni michongo ya madili makubwa

    Kabisa yaan, Mfano km dawa za binadamu kutoka nje ya nchi,zikiwa hazina usajiri duh Ni pesa ya mtelezo aiseee lkn wakikubamba aiseee
  9. Paradisehome

    JamiiForums Tanzania Mabraza mliofanikiwa, tupeni michongo ya madili makubwa

    Hapo hapo ngoja nijiunge mkono, Nina mshikaj tullikuwa nae wakat tunajisaka,,,,sawa eeee miaka miwili yy tyr akawa njema kbsa,gar la kumtembelea,quanter ya mizigo,jengo zuri la kisasa,viwanja nyomi,mashamba makubwa ufugaji mkubwa sijui nikuambie nn,,, Miaaka imakatika huu mwaka wa 10 nimeonana...
  10. Paradisehome

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya Bajaj na Pikipiki kwa Vijana: Fursa au Mtego wa Umasikini?

    Ndio maana nimesanuka nikasema yawezekanaj hii? Maana mtego unawekewa kitu kizuri ili unase kwa wepesi 0793 743 237 namba yao ya WhatsApp 0
  11. Paradisehome

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya Bajaj na Pikipiki kwa Vijana: Fursa au Mtego wa Umasikini?

    Facebook then WhatsApp nimechati nao mkuu👉👉👉👉0793 743 237 WhatsApp yao
  12. Paradisehome

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya Bajaj na Pikipiki kwa Vijana: Fursa au Mtego wa Umasikini?

    Nimeona Honda wanakopesha mf boda king kwa 2.9m,,,unatoa kianzio 300,000,form 30k na rejesho 108500/mwezi miez24 inaangukia 2,930,000..... Hii Ni kweli au Ni ka mtego? N
  13. Paradisehome

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni Ushauri, upendo wangu kwa mke wangu unashuka

    Utatukanwa bure,na wakat mwingine utakosa ulichokusudia, Km hautojali Ni pm tupean mawazo kidogo!
  14. Paradisehome

    JamiiForums Tanzania Nafasi za udereva saudia Arabia

    Utapeli msidanganyike,ajuaye ni dogo alilizwa lak5 et napelekwa huko,
Back
Top Bottom