Recent content by Papushikashi

 1. Papushikashi

  Kwa dua na laana hizi, Israel mwisho wake unakaribia

  Huyo atakuwa anataka ubwabwa ana namna
 2. Papushikashi

  Video: Kombora la Israel lilivyoangusha jengo la ofisi za Al Jazeera

  Yaani mwenyewe nimenyoosha mikono
 3. Papushikashi

  Uchaguzi 2020 Makamu wa Rais Dkt. Mpango ashiriki zoezi la upigaji kura Buhigwe

  Heeeee....kumbe uchaguzi ni leo hata sina taarifa
 4. Papushikashi

  Salum Rashid Hamduni kutoka ACP mpaka CP. Je, ndiye IGP ajaye baada ya Sirro kustaafu?

  Umesahau Yale maandamano ya ukuta kauli aliyoitoa
 5. Papushikashi

  Salum Rashid Hamduni kutoka ACP mpaka CP. Je, ndiye IGP ajaye baada ya Sirro kustaafu?

  Hivi Sirro yupo kweli, maana toka mwendazake ameenda zake sijamsikia akitoa zile kauli zake za mikwala
 6. Papushikashi

  Tumekosa watunzi wa Nyimbo kama za Banza Stone RIP Mwalimu

  Haaaa.aaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
 7. Papushikashi

  Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

  Duh! Halafu unakuta kuna watu wanalitetea hili jambazi
 8. Papushikashi

  Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

  Nakumbuka bungeni Mama alivyosema vile wabunge wa mwendazake walipiga makofi dakika 20
 9. Papushikashi

  Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

  Nilichogundua Watu mlioweka picha ya mwendazake kwa profile mmefanywa misukule hamtumii akili zenu
 10. Papushikashi

  Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

  Na umegundua kuwa hata mama wa afya kaacha ukomedi?
Top Bottom