Recent content by Paphilius

  1. Paphilius

    JamiiForums Tanzania KWELI Picha hii ya Millard Ayo na Rais wa Finland ni halisi

    Hiii ni jamiiCheck. Najifunza kutofautisha picha na zile za kutengenezwa. Kwangu mimi maarifa haya ni muhimu katika ulimwengu huu wa AI na siyo kujua millard kakutana naye au la
  2. Paphilius

    JamiiForums Tanzania KWELI Picha hii ya Millard Ayo na Rais wa Finland ni halisi

    Naomba kuwa na uhakika picha iliyotolewa na millard naona itakuwa ya akili unde.
  3. Paphilius

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Gawio – Twiga Cement (2024)*

    Hapo ni hasara tu. Lakini je hivyo ndivyo ilivyo kwa twiga cement?
  4. Paphilius

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Gawio – Twiga Cement (2024)*

    Ha! Kumbe. Mi nilikuwa nashangilia nasema ni bonge la fursa. Nifafanulie vizuri ni mtego kivipi kwamba naweza kununua nisipate gawio au
  5. Paphilius

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Gawio – Twiga Cement (2024)*

    Ha! Kumbe. Mi nilikuwa nashangilia nasema ni bonge la fursa. Nifafanulie vizuri ni mtego kivipi kwamba naweza kununua nisipate gawio au?
  6. Paphilius

    JamiiForums Tanzania Msaada:nimemeza kipisi cha toothpick nahisi kinanikwangua kooni

    Sasa akila matunda si anakisogeza zaidi?
  7. Paphilius

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Kifedha kwa Hisa za CRDB – by Smart Finance

    CRDB siyo mbali hisa itauzwa kwa sh 2000
  8. Paphilius

    JamiiForums Tanzania Hisa Zilizofanya Vizuri Zaidi - 2024

    Shukrani
  9. Paphilius

    JamiiForums Tanzania Zanzibar kufuta mitihani ya Taifa na kuwa na Mfumo Mpya wa Elimu

    Duh! Sasa kumbe umuhimu wa majaribio kwa mwanafunzi umesahaulika. Mi naona wangekuwa wanaishia la 6 halafu elimu kwa vitendo. Kuondoa hadi Mitihani?
  10. Paphilius

    JamiiForums Tanzania Kuna Group Linajiita JamiiForums linapotosha Umma

    Point
Back
Top Bottom