Recent content by Papay

  1. P

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, wazazi wangu hawataki nisome ujuzi mwingine zaidi ya taaluma niliyosoma

    Tafuta sasa namna ya wewe kuwashawishi wakuruhusu uondoke ili ukatimize kile unachokiona!
  2. P

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnipokee Mimi

    Karibu sana! Naomba huo ushauri
  3. P

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, wazazi wangu hawataki nisome ujuzi mwingine zaidi ya taaluma niliyosoma

    You are the first to handle the best of you!
  4. P

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Vipi Mbezi High School kuna nini?

    Tuhuma nzito sana hizi. Uchunguzi ufanyike!
  5. P

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu kesi ndogo ya Mbowe, Superitendent Jumanne Malangahe atoa Ushahidi

    Nilijua nimechelewa! Nipo mahali hapa.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Nafurahi Sana kuwa miongoni mwa wanafamilia wa hili jukwaa!

    Asante sana watu nane, nimekaribia.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

    Sijakuelewa mkuu
  8. P

    JamiiForums Tanzania Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

    Msaada hauhusiani na elimu wala kitu kingine chochote! Msaada ni ule ushirikiano anaoamua kujitoa mtu Kwa mtu Kwa kitu ambacho Hana au kuwa na uwezo Nacho. So nashangaa maswala ya elimu yanakujaje tena hapa
  9. P

    JamiiForums Tanzania Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

    😢😢😢😢😢
  10. P

    JamiiForums Tanzania Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

    So kuna guarantee kwamba watu wa elimu Fulani ndo wanapaswa au ndio wanaweza Tu kuandika na kupangilia vizuri uandishi?
  11. P

    JamiiForums Tanzania Nafurahi Sana kuwa miongoni mwa wanafamilia wa hili jukwaa!

    🙏🙏🙏
  12. P

    JamiiForums Tanzania Nafurahi Sana kuwa miongoni mwa wanafamilia wa hili jukwaa!

    Mi Masai wa Dar
Back
Top Bottom