Tetesi: Vipi Mbezi High School kuna nini?

balibabambonahi

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
14,419
12,519
Naomba mwenye taarifa,atwambie Mbezi high school Kuna nini? Hii shule iko Dar Es Salaam kwa Yusufu. Tetesi zinadai kwamba walimu baadhi wa shule hiyo wamewageuza wanafunzi wachumba na wake zao. Mwenye taarifa kamili atujuze.
 
Nilikataa katu katu kuwa mwalimu aisee, yaani vibweka vya visichana. Sijui ningechomokaje.
 
Naomba mwenye taarifa,atwambie Mbezi high school Kuna nini? Hii shule iko Dar Es Salaam kwa Yusufu.Tetezi zinadai kwamba walimu baadhi wa shule hiyo wamewageuza wanafunzi wachumba na wake zao.Mwenye taarifa kamili atujuze.
Habari uliyonayo unaitaka kutoka kwetu.

Hebu andika unachokijua ili wenye kuyafahamu wwjr kuyathibitisha au kuyapinga....
 
Kuna watu wana majungu duniani. Dah!.

Kwanini waalimu mkishafukuzwa mnaanza kuchafua shule?
 
Kuna shule ilishakuwa na tuhuma za walimu kutembea na wanafunzi. Kilichofanyika Bodi ya Shule ikaekekeza wanafunzi na walimu wapige kura ya siri.

Baada ya matokeo ya kura kwakweli HESHIMA ILIRUDI maana walimu waliopigiwa kuru na wanafunzi pia walipigiwa kura na walimu wenzako.
 
Zipigwe kura za Siri za wanafunzi wa kike tu zisihusishe wa kiume sababu mleta mada aweza kuwa mwanafunzi kidume au mwalimu kidume aliyeporwa msichana
Wasiandike majina

Wasichana huwa hawafichi.Maswali yawe mafupi tu swali la kwanza je ulishawahi tongozwa na mwalimu au kusikia rafiki yako au kusikia kuna mwanafunzi mwenzio katongozwa na mwalimu? Jibu ndio au hapana

Swali la pili ni.mwalimu gani huyo au walimu gani hao anaitwa Nani au Ni akina Nani ?
 
Naomba mwenye taarifa,atwambie Mbezi high school Kuna nini? Hii shule iko Dar Es Salaam kwa Yusufu.Tetezi zinadai kwamba walimu baadhi wa shule hiyo wamewageuza wanafunzi wachumba na wake zao.Mwenye taarifa kamili atujuze.
kama kuna ukweli basi ni hatari sana kwa watoto wetu.

tunawaomba wamiliki wa shule zote binafsi pamoja na bodi zao, wawe wanachunguza mienendo ya walimu wao kila mara ili kubaini walimu wenye maadili mabovu waondolewa haraka.

kama walimu wanageuka kuwa waharibifu sasa watoto wetu watakuwa salama wapi?

shule binafsi zote kuweni makini na walimu mnao waajiri, isiwe bora kuajiri tu.
 
Huna kazi za kufanya dogo acha umbea kijana tafuta maisha yako nikajua unaushaidi kumbe Huna lolote na ww umesikia tu
 
Naomba mwenye taarifa,atwambie Mbezi high school Kuna nini? Hii shule iko Dar Es Salaam kwa Yusufu.Tetezi zinadai kwamba walimu baadhi wa shule hiyo wamewageuza wanafunzi wachumba na wake zao.Mwenye taarifa kamili atujuze.
Inawezekana wamemaliza kidato cha nne, hakuna ubaya kuwaandaa maisha ya mitaani.
 
Hii ni tabia ya mwalimu mwenyewe...na sidhani kama uongozi wa mbezi high school umemtuma mwalimu yoyote kutembea na wanafunzi
 
😂😂😂wacha wale wa uzi wa kula kwa masihara waanze kupata joto la dora
 
Naomba mwenye taarifa,atwambie Mbezi high school Kuna nini? Hii shule iko Dar Es Salaam kwa Yusufu.Tetezi zinadai kwamba walimu baadhi wa shule hiyo wamewageuza wanafunzi wachumba na wake zao.Mwenye taarifa kamili atujuze.
Toeni taarifa baada ya kuwa na uhakika nazo la sivyo hiyo ni tetesi tu
 
Back
Top Bottom