Recent content by paparazzi

  1. paparazzi

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mkuu Ontirio wewe ni mtu wa aina gani, nimekutana na watu wengi sana wa tofauti but wewe umepitiliza kaka. Najua ungeweza tu kukaa chumbani na kupiga utajiri mkubwa sana, lakini umeona bora ushee na kila mtu.si kila mtu anaweza kufny hivyo kaka. Mungu akutie nguvu, akuongoze, akuzidishie pale...
  2. paparazzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndugu yangu!! Kwanini unataka kuniua bure??

    Sasa tukusaidiaje kilazaa?
  3. paparazzi

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Watanzania wt wangekua km ww bro onta yani tungekua mbali. Nimesoma comments zako hadi natamani kulia. Mungu akuomgezee, si kila mtu ana moyo km wako wa kusaidia. Live long kk.
  4. paparazzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Don't travel with wrong patners, it's too expensive

    Hujaielewa hiyo quote ya mukandara. Read it again and again.
  5. paparazzi

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Kwanza kabisa itategemea na kuku wanakaa muda gani bandani, kama soko ni zuri unaweza kuwauza katijati ya wiki ya4 au mwanzani mwa wiki ya5, hapo basi broilers 300 watatumia mifuko ya 50 kg 15
  6. paparazzi

    JamiiForums Tanzania Makochi mawili yanauzwa bei poa

    Chukua 150 ndugu
  7. paparazzi

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Mkuu njoo tufuge kuku, hapo unaweza kuweka layers up to 300, na broilers not less than 800
  8. paparazzi

    JamiiForums Tanzania Msaada kusoma masters UDSM

    Hiyo upper second lazima iwe ya udsm hapo hapo, lakini kama ni ya chuo kingine vigezo hubadilika kulingana na chuo...
  9. paparazzi

    JamiiForums Tanzania For PCM,PCB,CBM,CBG takers

    CBG anachukua pharmacy, medicine and other medical related fields, inategemeana na chuo.... Pharmacy ya St.john na bugando zinawachukua bila shida, likewise bugando cbg anachukua medicine... pia pale kcmc cbg anaweza fanya prosthetics and orthotics... Kuhusu vigezo inategemeana na ufaulu wa...
  10. paparazzi

    JamiiForums Tanzania Tuombeeni tunaanza mitihani ya UE, UDSM

    Huna hekima...
  11. paparazzi

    JamiiForums Tanzania Kuuliza Multiple Choice Question katika University Exams: Tunapima nini?

    Shida ni multiple choice ama uelewa...??
  12. paparazzi

    JamiiForums Tanzania Nini kipimo cha elimu ya mtu?

    1. Persobal morality and codes of ethics... 2.self determination and awareness 3.competence in social arena 4.wise judgements Nk nk nk...
  13. paparazzi

    JamiiForums Tanzania matayo mstari wa biblia au?

    Matoyo? Moram? Same??
  14. paparazzi

    JamiiForums Tanzania kamba mguuni.

    Karibu
  15. paparazzi

    JamiiForums Tanzania Hello JF members

    Karibu
Back
Top Bottom