Recent content by Paparazi Muwazi

 1. P

  Mnyika ahamasisha kupitia bunge Maandamano kwenda kwa Magufuli madai ya fidia Mloganzila

  Ameyasema hayo Bungeni leo baada ya kutoridhika na majibu ya serikali kuwa watalipwa baada ya kupatikana fedha bila kujibu swali lake la kutaka serikali ieleze lini. PM
 2. P

  Wiki ya Maji: Mnyika azindua mradi wa maji, amkumbusha Rais Kikwete

  Kuna yoyote mwenye habari kuhusu hiki kikao na Rais ikulu kuhusu maji kama kimefanyika au la? Nakumbuka Rais Kikwete aliahidi kikao hicho kingefanyika Machi 2013 PM
 3. P

  Taarifa Fupi kuhusu Kazi za Maendeleo Jimboni Ubungo (AMUA)

  Hii inakaribiana na kauli ya Nkamia
 4. P

  Jimbo la Segerea ni mali ya CHADEMA ndani ya UKAWA au nje ya UKAWA

  Asante kwa taarifa hii, itasaidia vyombo vingi kupata ukweli wa mambo kwa upande wa uchambuzi wa matokeo ya 2010 na 2014. Kama kuna mwenye takwimu tofauti na hizi za kwako ni vyema akaziweka. Kwa upande mwingine, mpaka sasa mgombea aliyejitangaza ni Mtatiro wa CUF, kwa kuwa umeandika CHADEMA...
 5. P

  Kikwete: Tatizo la maji Dar kubaki historia

  posa,Kikwete aliahidi mwaka 2010 kuwa tatizo la maji Dar Es Salaam lingemalizika kuanzia mwaka 2011. Sasa ni 2015 hajatekeleza wakati yeye ndiye Serikali yake inakusanya kodi zetu. Kumbe ndio maana Mnyika amekuwa akimbana! PM
 6. P

  Mnyika: Tutaandamana kweka Ikulu kudai maji

  Kwetu wachambuzi wa habari tunatambua kwamba alishaanza siku nyingi, mfano hii ni ya tarehe 4 Februari 2013 Bungeni: https://www.youtube.com/watch?v=plZXAO8GBB8 PM
 7. P

  Dk Slaa, Mnyika, Lema matatani

  Hivi hili sakata liliishia wapi? PM
 8. P

  Nape vs Mnyika Jimbo la Ubungo

  JF kwanini isifanye pia kura ya maoni mitaani? PM
 9. P

  Huyu ndio Habib Mchange

  Mchange, 1. Unaweza kusema wakati unagawa hizo fedha ambazo umekiri mwenyewe kwa kigezo cha kusaidia watu mbalimbali ulikuwa unafanya kazi gani na ulikuwa na kipato cha kiasi gani? 2. Kwa uzoefu wa siasa kwa kuwa uliwahi kuwa mgombea ubunge, ni lazima kwa mtoa rushwa ukichukulia mfano wa...
 10. P

  Uthibitisho wa kazi maalum ya Ben Saanane na hujuma za Dr. Slaa kwenye siasa za Juliana Shonza

  Ben kuanika habari za CHAUMMA na namna ambavyo walijipanga kuchukua toka CCM na CHADEMA na kuwa chama kikubwa si sawa majibu ya Zitto kwenye mahojiano JF kwamba kuna chama kitaanzishwa ambacho kitakuwa na nguvu kuliko CHADEMA? Just curious PM
 11. P

  Uthibitisho wa kazi maalum ya Ben Saanane na hujuma za Dr. Slaa kwenye siasa za Juliana Shonza

  Haya mazito, Juliana una majibu gani ya maswali haya? Niliona na Mwigulu Nchemba aliingia hapa JF, aje tena kujibu hizi tuhuma zinazomhusu pamoja na Shigella ili ukweli ujulikane. PM
 12. P

  Uthibitisho wa kazi maalum ya Ben Saanane na hujuma za Dr. Slaa kwenye siasa za Juliana Shonza

  Juliana, Nimesoma shutuma zako kuhusu Dr Slaa na zimenifanya niamini kwamba kumbe kiliachoandikwa hapa: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/365646-kiongozi-wa-juu-bavicha-amhujumu-dr-slaa.html kilikuwa kweli. Je, ni kweli kuwa unatumika na CCM? PM
 13. P

  Uthibitisho wa kazi maalum ya Ben Saanane na hujuma za Dr. Slaa kwenye siasa za Juliana Shonza

  Juliana, Najua wewe ndiye makamu mwenyekiti wa BAVICHA na hii ni post yako ya kumi tu hapa JF. Nakupa benefit of doubt kwamba umeanza kuchangia baada ya Mamuya, Zitto na Saanane kuanza kujibishana. Sasa kwa kuwa kuna mijadala mingine ilifanyika nyuma, unaweza kuirejea na kutupa majibu yako...
 14. P

  John Shibuda na mgogoro wa Kauli ya kuisifia CCM; Kauli za wana CHADEMA

  Hivi Shibuda aliishia wapi na siku zake tatu dhidi ya BAVICHA? PM
 15. P

  Makamu Mwenyekiti Bavicha umemsikia Shibuda?

  Hivi hili sakata la Juliana na Shibuda liliishia wapi? PM
Top Bottom