Kikwete: Tatizo la maji Dar kubaki historia

Nilijua anazungumzia kuwa nchi nzima kumbe Mji mmoja tu! hana mpya ya kutuambia huyu Fisadi
 
posa,Kikwete aliahidi mwaka 2010 kuwa tatizo la maji Dar Es Salaam lingemalizika kuanzia mwaka 2011. Sasa ni 2015 hajatekeleza wakati yeye ndiye Serikali yake inakusanya kodi zetu. Kumbe ndio maana Mnyika amekuwa akimbana!

PM
 
Last edited by a moderator:
Duh, watu wachokozi. Sasa huo mpango Mnyika ndo kaukwamisha kwa kutwaa njia ya maji a.k.a Ubungo?
 
Mr dhaifu maneno mingi vitendo zero yaan full comedy, mwenye email addtess aiweke kwenye uziili tumpelekee.
 
Nimefungua post haraka haraka ili nione hiyo mipango ya kumaliza tatizo la maji Dar kumbe ni usanii wa mkulu wakati akitafuta tiketi ya kuongezewa muda wa ulaji.

Nimechoka kabisa.

Tiba
 
Black baboon. Npo UDSM vyoo ni vichafu tunategemea maji ya maboser and it is 2015 five years after.
 
msalani
upo? kucha unalaumu Mnyika kumbe profesa tezi naye kaahidi
 
Last edited by a moderator:
Hahaha..jf ni kiboko..watu wamefukua ya 2010..haya sasa aje atuambie ktk ahadi zake mia na ushee katimiza ngapi???
 
' NIKAWAULIZA HAYO SIYO MAFUTA JAMANI ? WAKANIAMBIA HAPANA HAYO NI MAJI ' Kwi! Kwi! Kwi! Hizi ahadi hizi jamani !
 
Back
Top Bottom