Uthibitisho wa kazi maalum ya Ben Saanane na hujuma za Dr. Slaa kwenye siasa za Juliana Shonza

Status
Not open for further replies.
Mtaparurana sana lkn sijaona anayejibu kwa uthabiti yale yaliyoongelewa na Ben badala yake kila mmoja wenu( Mchange, Mwampamba,na sasa Shonza) mnaibua kitu kingine tofauti tu followed na maneno meeeeengi!

No,kaleta kitu cha tofauti,kumbe zile kashfa anazozushia Zitto kwenye magazeti na mitandao zinaratibiwa na Dr Slaa na wanaofanya hayo wanalipwa kwa fedha za chama,shame on you Dr Slaa.
 
Kwa maelezo yako hii kazi ya kuibomoa CHADEMA kweli mlipee, isipokuwa uwezo wa kutenda hivyo ulikuwa na hata sasa ni mdogo sana.

Kwenu nyote swala la ukanda, udini, ukabila imewakaa barabara na dhamira ya kuwatenganisha na chuki dhidi ya Mbowe na Slaa imezama kabisa katika nyama na mioyo yenu.

Namna yenu (masalia) ya kuandika mbona inafanana kwa wote? Mliandikiwa au mlikaririshwa?
 
Kasema ushahidi anao,Tatizo liko wapi???MBONA UNATAPATAPA

Mwenye ushahidi huwa hasemi, anazungumza tu bila kutishia alafu mkileta ubishi anamwaga mambo hadharani yaani sawa na mtu anaetaka ku-commit suicide ukiona anasema najiua ujue anatishie lakini ukiona kimya unashitukia kesho yake amejinyonga, AULETE TU USHAHIDI
 
Kila kitu kiko wazi sasa. Anayehujumu chama ni ZIto na Kambi yake ya akina Juliana et al! Ndo maana wenzake wanajenga chama wao ni matamko ya Uraisi. Hivi huyu Juliana ndo nani awe kichwa namna hii. Kuandika Mara yeye anaweka mala!!

Ninyi mlitangulia kuingia CDM na kupata hivyo vyeo sisi nasi tunavitaka na tunauwezo mkubwa wa kufanya makubwa bila hata ujira wa mbwiha!! Mbona wachapa kazi kama Mnyika, Lema na Tundu wako na malengo ya Chama ninyi vipi. Baada ya kutosa Kafulila ninyi mkaunda kakikundi kirusi ndani ya chama.dha!!
 
Jamani hizi threads za Mchange, Mwampamba na sasa Shonza mbona zinafanana sana? Kama vile zimeandikwa na mtu mmoja au wameshirikiana kuziandika? Hawa watu nia yao nini kwa CDM?
 
Maelezo ya wote yanahusu Zitto (Naibu Katibu Mkuu - Tanganyika) na Dr. Slaa (Katibu Mkuu) kuna nini hapo?
Ni hakika sasa uongozi mkuu wa cdm kuna kundi la Zitto na Dr. Slaa. Busara itumike sasa...

kuna kundi la zitto tu ambalo tunaendelea kulivua nguo.
 
Hoja za Ben bado hazijajibiwa.badala yake ni uibuaji wa tuhuma za kupika dhidi ya Slaa,ukiwa ni muendelezo wa yale matus yenu kwake kama kawaida.level za slaa sio kukuhujumu wewe,jilinganishe nae then utaelewa."mwsho wa ubaya aibu" tushawajua.
 
Unaleta hoja dhaifu ya mtu kuwa na kadi mbili: Hebu nikuulize, Amani Karume ana kadi ya ASP chama ambacho hakipo na kwamba kumili kadi yake ni kinyume cha sheria za nchi. Je, huyu siyo CCM? Nape ana kadi ya CCJ. Je, huyo siyo CCM?

Elewa kuwa uwanachama wa Slaa kwenye CCM, ulikoma mara alipojiunga na CDM na kugombea ubunge Karatu. Lakini kwa kuwa wewe ni kilaza na unatumika, ndiyo maana unazomoka na kuja hapa kutukana katibu mkuu wako, kisha unadai unamheshimu.

Slaa unadai ni mwanaCCM. Mwanachama gani wa CCM ambaye anaweza kukibomoa chama chake kwa kiwango hicho? Nakumbia Juliana, umalaya wako utakuponza. Sasa subiri wenzako wakufukuze. Ushahidi wa jinsi unavyotumika uko wazi. Hata kamati ya Isango iliyochunguza matamko yako ya kumtetea Shibuda, imemaliza uchunguzi wake na kwa hakika, inajua unachokifanya.

Buliani Ishonza.

SPANNER
 
Duh!wewe ndiyo makamu mwenyekiti bavicha?unashindwa kutofautisha r na l? Hivi wewe unapata wapi mda wa kufanya majungu haya baada ya kujenga chama??Ujui hata taratibu za kutoa tuhuma una ropoka majukwaani tu usilewe sifa dada yangu unajimaliza kisiasa mwenyewe unamsingizia dk. Slaa,pole sana dada mpuuzi sijui chadema ilitoka wapi na wewe ni kiongozi pekee wa chadema nakuona unashadadia malumbano hapa jf yasiyo na kichwa wala miguu
 
nasubiria tuhuma za mbowe nishasikiia za zitto, slaa, bado mbowe... ngoja mie nikaa karibu tu na mashine yangu muda si mrefu yataibuka mengine ....hii ndo style ya funga mwaka kweli
 
Ajibu hoja zangu , nikifunguka zaidi itakuwa balaa......akounti yako iliwahi kuwa na fedha nyingi mwezi gani na zilitoka wapi?

haya makubwa sasa, ajibu wapi? Huo ubavu anao, kwani ni mara moja tumelalamika juu ya usaliti wa zito, kila safari jk kanatamani kujirengesha, inawezekana hata sio muha huyo, zito atakuwa jamii ya kina nkunda
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom