Uthibitisho wa kazi maalum ya Ben Saanane na hujuma za Dr. Slaa kwenye siasa za Juliana Shonza

Status
Not open for further replies.
Juliana,

Najua wewe ndiye makamu mwenyekiti wa BAVICHA na hii ni post yako ya kumi tu hapa JF. Nakupa benefit of doubt kwamba umeanza kuchangia baada ya Mamuya, Zitto na Saanane kuanza kujibishana.

Sasa kwa kuwa kuna mijadala mingine ilifanyika nyuma, unaweza kuirejea na kutupa majibu yako? Mfano,

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-bavicha-umemsikia-shibuda-2.html#post5266711

Na Huu: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/266266-john-shibuda-na-mgogoro-wa-kauli-ya-kuisifia-ccm%3B-kauli-za-wana-chadema-47.html#post5266734
 
kama hunahaja ya kuoment hapa umefanya nini?
Unaangali kilihoandikwa au unakagua spelling?Ila alihokiandika ben saa nane ndicho kimekamilika.Fiha upumbavu wako,onesha hekima yako

Product nyingine hiyo,ebu pitia tena ulichoandika alafu jijibu mwenyewe ni nani kati yangu mimi na wewe ni M.P.U.M.B.A.V.U
 
Haya sio maelezo yanayotolewa na wanamapinduzi, hata kidogo. Unakamatwa kwenye Uhaini na haya ndio maelezo ya ni kwa nini ulitaka kupindua taasisi halali???????????
Hivi kweli hii hadithi ya kitoto kabisa ndio defense unayotoa kueleza umma ni kwa nini usiadhibiwe kwa usaliti??????
 
Maelezo ya wote yanahusu Zitto (Naibu Katibu Mkuu - Tanganyika) na Dr. Slaa (Katibu Mkuu) kuna nini hapo?
Ni hakika sasa uongozi mkuu wa cdm kuna kundi la Zitto na Dr. Slaa. Busara itumike sasa...
 
Yap! Mwingine. Ila nawe hoja zako nyepesi Juli. Dr kumiliki kadi inamruhusu kutokana na katiba ya vyama vyote viwili havimfungi. Mbona itikadi yake inaonyesha ni CDM damu?
Utetezi wako unaweza kuaminika mwanzo ila umeharibu mwishoni ulivyoleta mambo ya ukanda. Na zaidi kama ulikuwa kundi moja na Ben na Dr akakushtukia yupo right kukupiga stop kwenye shughuli za chama kwani yeye si ndio katibu au?
 
Vijana wa CHADEMA tume-prove namna ambavyo ni wajinga, washenzi, wapuuzi na tusiokuwa na akili.

Yani mimi hawa wote ni wapuuzi, washenzi, wajinga..hivi manapoweka huu upuuzi kwenye public ni kwa maslahi ya nani? Pumbavu zenu!!
 
Naomba nikupe pole kwa hayo yote pia nikupe ushauri wa bure, naomba ujitathimini kwa dhati kama hiyo nafasi ya umakamu mwenyekiti wa bavicha kwenye chama chako unastahili kuwa nayo. Jitahidi kuwa muwazi na mkweli wakati unajitathmini. Binafsi nilitegemea zaidi kutoka kwa makamu mwenyekiti, nilitegemea kujifunza zaidi kutoka kwako.
 
Juliana , vipi kikao chako wewe , MArtine Shigela , Eddo MAkata , GWakisa, MWampamba na Mchange juzi jumamosi kilichofanyika Sinza na kuendelea jumapili LUnch time hoteli? Huko ulitumwa na Bavicha?

Vipi kuhusu wewe na Getrudi KOkukwenda kuishi nyumbani kwa Mwigulu Dodoma wakati wa vikao vya Bunge la bajeti mwaka huu? Ulikuwa umetumwa na Bavicha?

Umeendeleza ushahidi kuhusiana na maneno ya Ben kuwa mlikubaliana kuwatenganisha viongozi wakuu yaani Mbowe na Dr.SLaa , na hapa umeendeleza kuwa mbaya wako ni Dr.SLaa , huyu anahusika vipi na Bavicha?

Vipi kuhusu kauli yako ya kumtetea Shibuda , na kupingana na Mwenyekiti wako , sakata la kuchunguzwa limeisha ama laa,

Naijua Intelijensia ya CDM kwa kweli ni hatari , mmeshikwa pabaya , chutama mtoto wa kike uko uchi...........,,,

Aidha, naona umeandikiwa ama na Mwampamba kwani paragrafu tatu za kwanza zinafanana na alichoandika Mwampamba katika utetezi wake , mko wote ? Hakika hufai hata kuwa mwenyekiti wa msingi kama akili zako ni za kushikiwa kiasi hicho.........

Safari yenu ya kwenda nje ya DSm lini? ........

hapo kwenye red mbona siamini kinachoendelea?
 
mada huioni?
Juliana,

Najua wewe ndiye makamu mwenyekiti wa BAVICHA na hii ni post yako ya kumi tu hapa JF. Nakupa benefit of doubt kwamba umeanza kuchangia baada ya Mamuya, Zitto na Saanane kuanza kujibishana.

Sasa kwa kuwa kuna mijadala mingine ilifanyika nyuma, unaweza kuirejea na kutupa majibu yako? Mfano,

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-bavicha-umemsikia-shibuda-2.html#post5266711

Na Huu: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/266266-john-shibuda-na-mgogoro-wa-kauli-ya-kuisifia-ccm%3B-kauli-za-wana-chadema-47.html#post5266734
 
Status
Not open for further replies.
66 Reactions
Reply
Back
Top Bottom