Paparazi Muwazi
JF-Expert Member
- Dec 23, 2007
- 310
- 80
Ameyasema hayo Bungeni leo baada ya kutoridhika na majibu ya serikali kuwa watalipwa baada ya kupatikana fedha bila kujibu swali lake la kutaka serikali ieleze lini. PM
Cheap politics- nilifikiri kuwa serikali imegoma kuwa haitawalipa hao wananchi!Ameyasema hayo Bungeni leo baada ya kutoridhika na majibu ya serikali kuwa watalipwa baada ya kupatikana fedha bila kujibu swali lake la kutaka serikali ieleze lini. PM
Cheap politics- nilifikiri kuwa serikali imegoma kuwa haitawalipa hao wananchi!
Mnyika angejitahidi kuona manufaa ya uwekezaji ule kuliko kuwatumia wananchi kwa manufaa yake, nilitegemea Mh Mnyika angekuwa mstari wa mbele ikiwezekana kuwashawishi wanannchi wake waisamehe serikali kwa ardhi ile ambayo imetumika kwa manufaa ya wananchi wenzao wa taifa lao badala ya kuwatumia kwa jambo ambalo sijaona tatizo la msingi.
mtu kama huyu ni great thinker,mpigeni chini anaongea vitu ganiCheap politics- nilifikiri kuwa serikali imegoma kuwa haitawalipa hao wananchi!
Mnyika angejitahidi kuona manufaa ya uwekezaji ule kuliko kuwatumia wananchi kwa manufaa yake, nilitegemea Mh Mnyika angekuwa mstari wa mbele ikiwezekana kuwashawishi wanannchi wake waisamehe serikali kwa ardhi ile ambayo imetumika kwa manufaa ya wananchi wenzao wa taifa lao badala ya kuwatumia kwa jambo ambalo sijaona tatizo la msingi.
si angehamasisha maandamano ya kudai kupeleka ushahidi wa ufisadi wa Lowasa mahakamani!Ameyasema hayo Bungeni leo baada ya kutoridhika na majibu ya serikali kuwa watalipwa baada ya kupatikana fedha bila kujibu swali lake la kutaka serikali ieleze lini. PM
Wananchi wa jimbo la Kibamba tuna matatizo kibao,yeye anapiga kelele kujua lini Serikali itawalipa wananchi wa mloganzila.Anatafuta kiki tu.[/QUOTE
kama apati mafungu,shida zenu atatatua vipi
Maskini hujui ulisemalo. Kwani hujui tabu ambazo wananchi walizipata kwa kupisha ardhi ile. Kuna watu hadi sasa wanalala njeWananchi wa jimbo la Kibamba tuna matatizo kibao,yeye anapiga kelele kujua lini Serikali itawalipa wananchi wa mloganzila.Anatafuta kiki tu.
Au wa lugumi na escrow scandalssi angehamasisha maandamano ya kudai kupeleka ushahidi wa ufisadi wa Lowasa mahakamani!
Wananchi waisamehe serikali? Are you for real???Cheap politics- nilifikiri kuwa serikali imegoma kuwa haitawalipa hao wananchi!
Mnyika angejitahidi kuona manufaa ya uwekezaji ule kuliko kuwatumia wananchi kwa manufaa yake, nilitegemea Mh Mnyika angekuwa mstari wa mbele ikiwezekana kuwashawishi wanannchi wake waisamehe serikali kwa ardhi ile ambayo imetumika kwa manufaa ya wananchi wenzao wa taifa lao badala ya kuwatumia kwa jambo ambalo sijaona tatizo la msingi.
Maskini huyu nae hajui hata anaongea nini hapo alipoCheap politics- nilifikiri kuwa serikali imegoma kuwa haitawalipa hao wananchi!
Mnyika angejitahidi kuona manufaa ya uwekezaji ule kuliko kuwatumia wananchi kwa manufaa yake, nilitegemea Mh Mnyika angekuwa mstari wa mbele ikiwezekana kuwashawishi wanannchi wake waisamehe serikali kwa ardhi ile ambayo imetumika kwa manufaa ya wananchi wenzao wa taifa lao badala ya kuwatumia kwa jambo ambalo sijaona tatizo la msingi.
Mbona Tunduma wamefanya hivyo, wamebomoa nyumba zao ili barabara zipiteWananchi waisamehe serikali? Are you for real???
Huyo Mnyika ndio anataka kutumia wananchi kujinufaisha.Maskini huyu nae hajui hata anaongea nini hapo alipo
Na wewe tupishe humu, umekazana kulazimisha watu wasome post zako wakati hazina akili kama ulivyo. Hebu nenda instagramHuyo Mnyika ndio anataka kutumia wananchi kujinufaisha.
Hao wananchi wamelipwa hata hiyo fidia?Ardhi yote ni mali ya Serikali! Wewe umeazimwa tu ndio sababu wakiihitaji hawanunui bali wanalipa fidia tu!
Hao wananchi wamelipwa hata hiyo fidia?
Haihitaji mimi kuzungumzia mambo ya fidia, thread yenyewe maudhui yake ndivyo yalivyo. Hebu soma title labda utarudi kwenye mstariNimemuelimisha Mwenzetu kwny post no.3 aliedhani Ardhi ni Mali yake. Sijazungumzia Masuala ya Fidia Ila Kama unapenda kuzungumzia Wewe Zungumzia!
Haihitaji mimi kuzungumzia mambo ya fidia, thread yenyewe maudhui yake ndivyo yalivyo. Hebu soma title labda utarudi kwenye mstari