Recent content by papaa musofe

  1. P

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wa kiuhandisi: Interchange ya Ubungo vs Jengo la PPF (TANESCO)

    hii nchi inakokwenda,tumuachie Mungu,bado mnada wa maghorofa ya wizara hapa Dar
  2. P

    JamiiForums Tanzania Hotuba anazosoma Rais Awekewe Teleprompter

    kama viko kwa lugha ya kingereza,wasimpe
  3. P

    JamiiForums Tanzania Nape: Sijaiona sababu ya Serikali kuchukua fedha zake kuwekeza kwenye miradi mikubwa

    mwenye masikio na asikie maneno hayo
  4. P

    JamiiForums Tanzania Dr. Mpango wawahi kabla hawajakuwahi ili kulinda heshima yako

    dokta hawatakubali awawahi,wamembebesha begi la mabomu wao wamekaa na rimoti pembeni,wanasubiri muda sahihi
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mashambulizi ya vyombo vya habari vya kimataifa dhidi ya Tanzania ni sehemu ya vita ya kiuchumi,yanazuia wawekezaji

    kama unajua kununua nyanya gengeni na kurudi nyumbani huwezi kuelewa mambo mengine
  6. P

    JamiiForums Tanzania Mashambulizi ya vyombo vya habari vya kimataifa dhidi ya Tanzania ni sehemu ya vita ya kiuchumi,yanazuia wawekezaji

    Tanzania imekuwa ikishambuliwa na vyombo vya habari vya kimataifa kuhusu mambo mbalimbali kisiasa,kijamii na kiuchumi kwa maoni yangu vyombo hivyo ni mawakala wa mataifa makubwa na makundi makubwa ya matajiri wa dunia hii vina lengo moja tu,kuzuia muwekezaji yeyote wa kimataifa asiweke hela...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Peter Serukamba: BOT na Wizara ya Fedha wanawasilisha reporti za kukopi hazina uhalisia

    naona waha wa kigoma wameamua "kumsokota" JPM
  8. P

    JamiiForums Tanzania Kuhusu wachunguzi wa kimataifa: Majibu ya Waziri Mkuu ni final and conclusive. Hawataruhusiwa!

    mkuu endelea kulamba miguu ya wakubwa,ikiwa safi wanaweza kukuona kenya kwenye kesi za machafuko ya uchaguzi pia waligoma,lakini wakanyoosha mikono juu,Rutto na uhuru wakapelekwa the heague pole mkuu,kushindia viazi na nyanya chungu kumekumaliza kabisa,sheria zako zimetoka kichwani na kuhamia...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Diane Shima wa Rwanda ni nani na ametokea wapi?

    #freerwigara
  10. P

    JamiiForums Tanzania Mlimani City (Dar es Salaam) Vs Rock City Mall (Mwanza)

    RockCity hata aliyechora ramani aliumiza kichwa,na mkandarasi pia,mlimani city imekaa kama mabweni ya wanafunzi wa sekondari,holi moja
  11. P

    JamiiForums Tanzania Serikali na TRA, mnaweza kuwezesha utoaji wa risiti za VAT kwa njia ya mobile SMS. I stand to be corrected

    ukiweka salio kwenye simu huwa wanatuma sms ambayo mimi naweza kuiita "risiti" ikionyesha bidhaa(salio ulilonunua) na kodi uliyolipa kama TRA wakiwekeza katika e_business,inawezekana,hasa kama mfanyabiashara ana code/TIN anapata electronic/e_receipt pamoja na printout,risiti ya kielekronik...
Back
Top Bottom