Nape: Sijaiona sababu ya Serikali kuchukua fedha zake kuwekeza kwenye miradi mikubwa

Sasa naona Sizonje na serikali yake wanashambuliwa kwa kasi ya ajabu na wabunge wao wenyewe. Ukosoaji umehamia CCM. Huku Bashe, kule Serukamba, pale Ndassa, katikati yupo Nape. Sasa Nissan nyeupe sijui itaanzia wapi kushambulia.
Pyupyu! kajisemea Sugu
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kwa reli sawa inadumu vizazi na vizazi na ina return kubwa na ya haraka kuliko ndege,ndege zingekuja baadae baada ya mradi mmoja Mkubwa kuanza kutoa matunda,Umeme nao sawa kurahisisha viwanda.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
huwa siwaelewi wabunge kama akili zinawatosha leo wanasema hiki kesho wanajikana . Uwekezaji kwenye ATC waliwapa makaburu wakaua shirika kila siku kwenye Bunge wabunge hawa wakapaza sauti zao eeeeeh hata Rwanda wana shirika la ndege ss hatuna . leo Magufuri kalifufua huyu kichwamaji anatwambia tuanaua sekta binafsi
Nenda Ukawa kama ya CCM yamekushinda
 
Huyu ni mropokaji tu sio wa kumuamini
Halafu hoja zake zote alizoongea zimejikita kwenye short term vision and short term plans.Na pia kajikita kwenye spending money on social services tu bila kujikita kwenye kuelezea hiyo sustainability ya pesa za ku spend kwenye social services itatoka wapi? miradi mikubwa Kama reli inajengwa muda mrefu lakini income yake ni sustainable kwa muda mrefu pia.kwa mwenye long time vision atajikita miradi ya muda mrefu inayoiingiza pesa.Mfano hiyo reli.Kusema serikali imekosea si kweli yeye ana maono ya muda mfupi .Hiyo mikopo pia INA Grace period hukopi Leo kesho unaanza kulipa
 
Je, Nape angekuwa na ujasiri huu kama angekuwa bado yuko kwenye cabinet? Anyway, amesema ukweli ambao akina Mwijage, Mbarawa na Kairuki hawana ujasiri wa kuusema!
Ukiwa waziri huwezi kuikosoa hadharani Serikali ambayo wewe mwenyewe upo ndani yake. Kufanya hivyo ni sawa na kujikosoa mwenyewe. Huwa wanakosoana wao kwa wao kwenye vikao vyao vya baraza la mawaziri na sio publicly kama unavotaka iwe
 
Hivi kweli tunataka kampuni binafsi za uzalishaji wa umeme tena ziongezeke, Nape anaona ni bora kutengeneza IPTL, dowans au Richmond nyingine?
Deal zao zimepigwa chini hapo nape anaongea kwa niaba ya mafisadi kuwa tusijenge mitambo yetu tushirikiane na akina IPTL,nk tuendelee kupigwa Katumwa na mifisadi iliyokuwa ikikwapua pesa za serikali.Hiyo mifisadi haimo bungeni ndio imemtuma akaisemee
 
pengine nape hajui itikadi ya chama chake kuhusu uchumi. angelijua asinge sema hivyo. kama anataka hata shirika la ndege wapewe wawekezaji na serikali ibaki mtazamaji tu, basi wabunge tunao.
Anasahau kuwa ndege zetu tuliingia ubia na watu binafsi tukapigwa ATC iliyokuwa walau inapumua ikazimia kabisa .Nape alikuwa akibebwa tu kwa sababu ya jina LA babaake sidhani kama hata anajua ilani ya CCM inaongelea nini au anaijua hata inafananaje
 
Maneno haya ndio yaliyoirudishia CCM uhai 2015, Ya Mawaziri mizigo na kadharika
Vinginevyo ingejifia, Huyu Kijana ni mzalendo kweli kweli
 
Leo hii mheshimiwa Nape Nauye ameeleza kwa kina jinsi ambavyo serikali inakosea katika mambo mengi sana, nape anasema Serikali imevaa viatu ambavyo sio saizi yetu. Nimependa sana Uzalendo wa Nape Nauye ... Hebu mtazame chini alivyofunguka kisha toa maoni yako.


Je Nape anaweza kutupa mchanganuo wa Hiyo miradi
Kama cost of capital outlay
Mapato ya Hiyo miradi
Na mwisho itachukua muda gani kwa Huyo investor ataweza kurudisha mtaji wake na kuanza kupata faida. Na pia cost ya ucheleweshaji wa kutofanyika kwa Hiyo miradi eg umeme, au reli au viwanja vya ndege au kuwa na ndege zetu??
Na je baada ya Hiyo assumption ya Huo mikopo kiasi cha deni kufikia Hiyo 55% ya GDP , bado pato letu litakuwa static baada ya uwekezaji huo. Kiasi kwamba ukomo utakuwa umefikiwa?? Na je miradi ya maji sio ya kibiashara au haiwezi kuwa ya kibiashara. Na je anajua ni kwa kiasi gani serekali ya uingereza ina subsidies nauli za treni zilizo binafsishwa na Ana jua railway truck bado ni Mali ya serikali ya uingereza na kilicho binafsishwa na treni zinazo safiri.
 
Find out more about each of the individual train operators.
  • Arriva Trains Wales. ...
  • Chiltern Railways. ...
  • Docklands Light Railway. ...
  • East Midlands Trains. ...
  • First Great Western Trains. ...
  • First ScotRail. ...
  • Gatwick Express. ...
  • Greater Anglia.
More items...
Train Operators - UK Train Companies - - redspottedhanky ...
www.redspottedhanky.com › trains › trai...

Feedback
About this result


PEOPLE ALSO ASK

Who are the owners of British Rail?





What is a train operating company?

What is the DLR in London?

How do you become a train driver?
 
Pole kwa wasiojua, siasa ni hesabu na hesabu ni mchezo wa namba tu. Poleni wenzangu na mie
 
Back
Top Bottom