Rais ,Wilaya ya Biharamulo kuna uwanja mdogo wa ndege,kwanini usiuboreshe huo?uko chini ya kilometa 20 kutoka Chato!

Hoja ya hovyo sana, mbona geita mine tulawaka buzwagi na buluanhulu kote kuna njia za ndege? Tunazungumzia airport sio airstrip
 
Hiyo wilaya yenyewe ya Biharamulo ni janga la nchi, labda walete huo uwanja wa ndege.
Wilaya haiendelei miaka nenda rudi, sijui nani aliwaloga watu wa Biharamulo? Mji mkongwe kweli lakini maendeleo inashindwa na sehemu moja ya Buselesele.
Raisi aifikirie kwa kweli.
Mtoa mada big up sana

Mkuu Karibia Wilaya zote Kongwe maendeleo ni kama yamekwama sijui tatizo nini?
Angalia Kibondo,Biharamulo,Mpwapwa etc
 
Back
Top Bottom