YALE
JF-Expert Member
- Apr 20, 2017
- 308
- 379
Wakuu nimeangalia hotuba kadhaa anasoma mkuu Rais huwa anatumia makaratasi na Kutumia muda mwingi akiinama technology imechange kwa sasa kuna kifaa kinatumika kinaitwa Teleprompter ni kifaa kinachomfanya mtu ahutubie au asome kitu bila kupoteza attention ya kuwatazama Audience yaani hadhira,
Nashauri Team ya Tech inayotembea na mkuu waandae Teleprompter ili kuleta ufanisi mambo ya kuweka karatasi kwenye podium yawe mara chache kama hotuba sio tu Inahitaji asilimia kubwa kusoma!
Nashauri Team ya Tech inayotembea na mkuu waandae Teleprompter ili kuleta ufanisi mambo ya kuweka karatasi kwenye podium yawe mara chache kama hotuba sio tu Inahitaji asilimia kubwa kusoma!