Recent content by Papaa Kinyani

  1. Papaa Kinyani

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu na Dkt. Magufuli wajiandae kisaikolojia, lolote linaweza kutokea

    Japo umesema ni mtazamo wako lkn ni mtazamo wa jamii nzima. Tumechoshwa vya kutosha. Ngoja tubadili mwelekeo wa jahazi ili tukapate samaki wengi na bora.
  2. Papaa Kinyani

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwandishi John Marwa wa Dar24 akamatwa kwa kumkashifu Naibu Waziri Mwita Waitara

    nokwenumuya, Duu mpaka uchaguzi uishe tutaona na kusikia mengi
  3. Papaa Kinyani

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Lukuvi aolewa na mtoto wa Mohammed Aboud

    Wataachana tuuu
  4. Papaa Kinyani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wife kanikamata red handed najiandaa kwenda kula Christmas na mpenzi wangu

    Nipe namba ya simu ya mkeo PM nikuombee msamaha
  5. Papaa Kinyani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki mwanaume

    Habari? Ulishapata mwenza? Kama bado tuwasilianae
  6. Papaa Kinyani

    JamiiForums Tanzania SANCHOKA ananieka active sana na hizi stress za Maisha

    Simba alipita akatapika
  7. Papaa Kinyani

    JamiiForums Tanzania Ipi bora zaidi kati ya Kitochi 4G Smart ya Tigo au Vodacom

    Chukua ya TIGO mkuu, hotspot inafanya vyema kwenye macbook, pia battery life ni superb, bei yao pia rafiki sana ukilipia kwa tigopesa.
  8. Papaa Kinyani

    JamiiForums Tanzania Ofisa feki wa TAKUKURU akamatwa

    Short cut is always a wrong path
  9. Papaa Kinyani

    JamiiForums Tanzania RC Dar,Atoa agizo kwa wakazi wa dar!

    Ukiona hivyo, Watu wamechoshwa na utawala huu.
  10. Papaa Kinyani

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi CRDB afikishwa Mahakamani kwa kumuibia mteja zaidi ya Tsh milioni 100 na kuzitakatisha

    Ndg yako huyo fala bora aibiwe, ktk zama hizi za kielektronik kuna mtu anaporwa pesa barabarani? Siku hizi kuna mobile money, sim banking nk
  11. Papaa Kinyani

    JamiiForums Tanzania Bajaj yapigwa kisawasawa maeneo ya Makumbusho.

    RIP wote waliotangulia
  12. Papaa Kinyani

    JamiiForums Tanzania Tapeli yamtokea puani, tumbo lajaa maji

    Ukome kabisa mm mmojawapo ulinitapeli, kama unataka kupona nirudishie hela yangu, nadhani unsikumbuka namba hii 0715274727
  13. Papaa Kinyani

    JamiiForums Tanzania Ni nani ameruhusu matangazo ya michezo ya kubahatisha kuanza kutangazwa tena kwenye vyombo vya habari?

    Hawa wanacheza na akili za viongozi wa serikali, TCRA nao wamelala, hapo ndio pakupiga faini kubwa kituo mpaka washindwe kulipa wafunge kituo, wanachosha sana, taifa gani la kamari?
  14. Papaa Kinyani

    JamiiForums Tanzania WIZI WA SIMU

    Heee kama unaijua IMEI mbona rahisi kuipata? Kuna kampuni posta (dar) sijui wewe upo wapi? Inasaidia kutafuta simu zilizoibiwa ikiwa tuu utawapa IMEI. Cha msingi wewe ukishaonana na hawa jamaa wa kampuni, muombe huyo mwizi atoe line yako aweke yake, hapo ndio itakuwa rahisi kum trace na...
  15. Papaa Kinyani

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu wakuu, nakosa usingizi

    Sasa ndugu kama ushajua mawazo ndio chanzo cha wewe kukosa usingizi kwa nini usipambane kuyaondoa kwanza mawazo?
Back
Top Bottom