Bajaj yapigwa kisawasawa maeneo ya Makumbusho.

Bajaj yapigwa kisawasawa maeneo ya Makumbusho.

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
18,284
Reaction score
30,158
Ile tabia ya waendesha vibajaja kulazimisha kuingia barabarani njia kuu leo mmoja wao imemtokea puani.

Nikiwa zagu naelekea mujini nikasikia honi kali.

Nikaona kibajaji kimeingia kwa kasi kumblock pick up moja ambayo mwendo wake ulikuwa mkubwa ingawaje si kasi kubwa sana.

Hamadi bajaji hii hapa na kwa honi na kujaribu kukwepa wapi!

Tukasikia kishindo kama mabati elfu yanaanguka.

Kibajaji kika viringika na kuserereka zaidi ya mita kumi na tano maana kilipigwa kisawia haswa!

Alipotoka mtu ndani yabajaji nikasema alhamdulillahi ingalau kuna waliopona.

UPDATE
Bajaji hawakomi, leo tena bajaji imepigwa maeneo yale yale.
Sasa hivi bajaji mtaroni.
20191022_091642.jpg
20191022_081636.jpg
 
Kwa hio kibaka jinsi kimepigwa mpaka kimechakaa?
 
Ile tabia ya waendesha vibajaja kulazimisha kuingia barabarani njia kuu leo mmoja wao imemtokea puani. Nikiwa zagu naelekea mujini nikasikia honi kali. Nikaona kibajaji kimeingia kwa kasi kumblock pick up moja ambayo mwendo wake ulikuwa mkubwa ingawaje si kasi kubwa sana.

Hamadi bajaji hii hapa na kwa honi na kujaribu kukwepa wapi! Tukasikia kishindo kama mabati elfu yanaanguka. Kibajaji kika viringika na kuserereka zaidi ya mita kumi na tano maana kilipigwa kisawia haswa! Alipotoka mtu ndani yabajaji nikasema alhamdulillahi ingalau kuna waliopona.
Hahahaha! Mkuu umeandika kama umewahi kuchomewa gari na watu wa bajaji. Lakini kumbuka bajaji ni kwa ajili ya abiria ambao hawana kosa, kwa hiyo hata kama ikigongwa usifurahie unaweza kukuta ndugu yako ndio aliikodi. Hakuna sehemu inasema Bajaji ikigongwa adhurike dereva wake tu mwenye fujo sio abiria
 
Back
Top Bottom