Recent content by Papaa Azonto

  1. Papaa Azonto

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwa Waandishi wa kujitegemea -Wepostnow

    http://support.scoopernews.com/postnow/form.html
  2. Papaa Azonto

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwa Waandishi wa kujitegemea -Wepostnow

    http://support.scoopernews.com/postnow/form.html
  3. Papaa Azonto

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwa Waandishi wa kujitegemea -Wepostnow

    hakuna limitation chief. nicheki inbox nitakuelekeza
  4. Papaa Azonto

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwa Waandishi wa kujitegemea -Wepostnow

    safi, nicheki inbox nitakuelekeza
  5. Papaa Azonto

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwa Waandishi wa kujitegemea -Wepostnow

    hapana. uhitaji kuwa na camera, ni simu au laptop yako
  6. Papaa Azonto

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwa Waandishi wa kujitegemea -Wepostnow

    Wepostnow tuunatafuta waandishi wa kujitegemea kujiunga na timu yateu.Utaweza kupata hadi kiasi cha shilingi 460,000 kila mwezi (200$). Wepostnow inakupa nafasi ya kuandika kwa lugha ya Kiswahili au kiingereza. Pia mfumo wetu unakupa nafasi ya kufanya kazi muda wowote ule kupitia simu yako ya...
  7. Papaa Azonto

    JamiiForums Tanzania Kwa wajasiriamali wenye pesa zao, hii ni fursa

    nawazo la biashara, nauza laki 5, ukifanya hii biashara, hukosi laki 250 kila wiki.
  8. Papaa Azonto

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kuhusu driving Course pale NIT

    Mkuu mtu mwenye D amepata mwaka huu, anaweza kwenda VETA kuongeza hayo madaraja na bei zao veta ni how much
  9. Papaa Azonto

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza nyama nje ya nchi

    Nicheki DM boss
  10. Papaa Azonto

    JamiiForums Tanzania Fahamu mambo mbalimbali kuhusu biashara ya bidhaa za electronics

    Mtaji mkubwa sana huo. Njoo Kariakoo, zunguka maduka ya bei jumla utapata vingi vya kutosha.
  11. Papaa Azonto

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza nyama nje ya nchi

    Mkuu nipe hii connection ya kupeleka nyama Zanzibar
  12. Papaa Azonto

    JamiiForums Tanzania TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Kwanza ebu kwanini mmepunguza vifurushi?
  13. Papaa Azonto

    JamiiForums Tanzania Azam yazindua tamthilia ya kichochezi mauaji ya Wakristo, Serikali iko kimya

    kwani mzee, huwa hutizami movies za zinazoonyesha maudhui ya mashekhe wakiuawa kwa kuitwa magaidi? acha chuki za kisenge mzee, hiyo ingekuwa inamilikiwa na mtu anayeitwa John ungekuja hapa kuongea? mara ngapi unatizama series zenye maudhui ya kuuawa kwa viongozi wa dini ya kiislamu, basi katoe...
  14. Papaa Azonto

    JamiiForums Tanzania Sitaacha kuisemea Bulyanhulu hata kama nitawaudhi

    nasikia hii barabara za vumbi ni deal kwa watu. yaan zinatengenezwa hili watu wawe wanapiga pesa kila mwaka kwa kuzikarabati. mvua zikinyesha,zinaharibu barabara then jamaa wanakula tenda ya kutengeneza . so ngumu kuweka lami, watu wale wapi?
  15. Papaa Azonto

    JamiiForums Tanzania Hili Ndilo Taifa La Tanzania!!!!!

    Taifa ambalo kijana ukisapoti chama tawala unaonakana huna akili Taifa ambalo kijana kama hunywi pombe we si mjanja
Back
Top Bottom