Naomba kufahamu kuhusu driving Course pale NIT

Habari ya wakati huu wapendwa
Naomba kuuliza, ukiwa umesoma basic driving course ukapata leseni na kuitumia miaka zaidi ya miwili, je utaweza kwenda kusomea kozi ya VIP grade two bila kusoma PSV?
 
Nasubiri majibu pia
 
Miaka ni mitatu sio miwili hapo asubiri mwaka mmoja kisha aende atapokelewa
Unamaanisha akiwa na Basic Certificate inamuhitaji akae miaka mitatu ndio atapokelewa kufanya course ya VIP au atapokelewa kufanya course ya PSV au chochote kati ya hivyo viwili ataruhusiwa kufanya kutokana na chaguo atakalohitaji...?
 
Kisheria inabidi akae miaka mitatu ndio aweze kupokelewa kufanya course ya VIP au PSV, ni sheria ndio inasema hivyo ni miaka mitatu
 
Kuna mwenye idea na mitihani inayotolewa kwa vyuo kama Veta na NIT coz ya PSV ama HGV,, anioneshe mfano au aniambie mifano ya maswali utakayoyakuta kweñye mitihani Yao

Pia nasikia Kuna Cha Arusha nadhani kinaitwa Arusha tech
 
Back
Top Bottom