Mi Bado nauliza, wale UVCCM ambao huwa nasoma kwenye mitandao kuwa wameteuliwa kutoka mikoa mbalimbali kuwa wanaenda kujiunga na mafunzo ya upolisi Huwa wanaishia wapi? Sio kwamba Hawa wenye mbinu ya kuvunja miguu watu ndio tayari wamehitimu? Mi mtazamo wangu ni kwamba hapa hukuna Cha polisi...
Msisahau kuambatanisha vielelezo vyote vya wizi wa kura ikiwemo clips za polisi na vibegi vya kura feki, matamko ya akina Nape, Kuna na yule alisema unapiga kura kule huku tunaunda serikali, Mchengerwa, Wasira, na matukio ya kufuta chaguzi ya akina Jecha pamoja na kanuni za tume hii isiyo huru...
Nyie kwenye Lichama mnao watu wa kuongoza, inakuwaje sasa mnunue tena akina Mwita Waitara, Gekul, Katambi, Silinde, Kafulila, Molel, Lijualikali, na wengine wengi. Inamaana wewe hufai au?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.