Recent content by Panthera 1

  1. P

    Lita Tengeru: Uongozi wa chuo wazuia utumiaji wa maji kwa wakazi wake

    jana nilikuja na uzi unaozungumzia hatari iliyopo kwa wanachuo wa chuo cha mifugo Tengeru pamoja na wakazi wake kutokuwa na huduma ya maji kwa kipindi karinu miezi mitatu licha ya kuwa kila kaya inechangishwa shilingi za kitanzania 30,000 kwa ajili ya ununuzi wa mashine ya kuvutia maji ambayo...
  2. P

    LITA TENGERU::Uongozi wa chuo wazuia utumiaji wa maji kwa wakazi wake.

    jana nilikuja na uzi unaozungumzia hatari iliyopo kwa wanachuo wa chuo cha mifugo Tengeru pamoja na wakazi wake kutokuwa na huduma ya maji kwa kipindi karinu miezi mitatu licha ya kuwa kila kaya inechangishwa shilingi za kitanzania 30,000 kwa ajili ya ununuzi wa mashine ya kuvutia maji ambayo...
  3. P

    Hiki kioo jamani

    mh ngoja waje wataalamu.
  4. P

    Chuo cha mifugo Tengeru, hatarini!

    Habari za muda huu watanzania wenzangu, Napenda kuchukua hatua hii kuelezea hatari iliyopo ndami ya chuo cha mifugo Tengeru ambacho ni moja kati ya vyou vilivyokuwa maarufu hapa Tanzania lakini kwa sasa chuo hakipo katika hali ya ubora. Mamia ya mifugo ilokuwepo hapa chuoni haipo na sijui kama...
  5. P

    Tahadhari: Barabara ya Tengeru ni hatari

    Mnamo mwaka jana tulileta malalamiko na kuyaandika mtandaoni ili kilio chetu kisikike lakini hakuna yeyote aliesikia hilo wala kuchukua hatua. Naamini wahusika wanafahamu hilo kwamba siku chache zilopita barabara ya kutoka soko la tengeru hadi kuingia geti la taasisi ya mifugo tengeru ilikuwa...
  6. P

    Sipendi ingawa ni mrembo na anapesa

    Asante sana,nitauzingatia sana ushauri huu.
  7. P

    Sipendi ingawa ni mrembo na anapesa

    Nimekuelewa sana ndugu.
  8. P

    Sipendi ingawa ni mrembo na anapesa

    Sawa ndugu ila sababu ambayo iliifanya familia yangu kumkataa mpenzi wangu ni tofauti ya dini tu,kitu ambacho nilitumia muda mwingi kuwaelewesha. Sikuona kama hiyo ilikuwa sababu ya kuvunjika mahusiano yangu na mpenzi wangu.
  9. P

    Sipendi ingawa ni mrembo na anapesa

    Habari zenu ndugu zangu, Ashukuriwe Mungu muumba mpaka hapa tulipofika. Mimi ni kijana wa miaka 26 ambae leo nimeamua kuja kuomba ushauri kwenu kwani nipo njia panda na sielewi kipi cha kufanya. Nilikuwa na mpenzi wangu mmoja ambae nilimpenda kwa moyo wote, nilimuonyesha mapenzi yote lakini leo...
  10. P

    english to french translation

    en español= ¿ Donde vive usted ? Kispanishi=unakaa/ishi wapi ?
  11. P

    Kampikie mumeo sasa

    mh kama ni mimi nahairisha kuoa.
  12. P

    Iga ufe

    Mbona hata hatishi,huyu siyo shangazi yako kweli ?
  13. P

    Taarifa sahihi kuhusu ulinzi wa Dk. Willibrod Slaa dhidi ya upotoshwaji unaoenezwa

    Acha niseme na hata ukiniziba mdomo utakuwa unajisumbua. Hata iwapo utaniona mimi boya au kilaza,huo ndio utakuwa uwezo wako wa kufikiri na kufikirishwa. Nahofia sana hiki cha chenye roho ya wasalidi (CDM) ni lini watakuwa na roho ya uzalendo kama leo tu wanaweza kusalitiana kiasi hiki kisi...
  14. P

    Vizungu vya masupa staa wa Bongo

    tehe tehe tehe tehe tehe tehe tehe,dont smoke my river.
  15. P

    Afande akiwa lindoni

    Mh anaweza kukuchinja huyu
Back
Top Bottom