Sir jj
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 320
- 144
Mara nyingi huwa nafuatilia sana,mahojiano ya wadada na wakaka waitwao masupa nyota,wadada wanamadoido sana wanajitia na uzungu huku ni mokorokocho tu.Na cha kuchekesha zaidi ni hizo Caption huko IG,twilla na Fb.
Kama hujui ni bora tu utafute mtu akuharirie kuliko madudu hayo.
Lugha yoyote ngeni huwa ni ngumu tu.
Kama hujui ni bora tu utafute mtu akuharirie kuliko madudu hayo.
Lugha yoyote ngeni huwa ni ngumu tu.