Recent content by PantaleoGregory58

  1. P

    JamiiForums Tanzania Wanawake weusi wana joto zaidi ya weupe

    Duh! We noma doctor
  2. P

    JamiiForums Tanzania Motor vehile ya Verosa kwa sasa ni shilingi ngapi?

    Asante sana FaizaFoxy umetuelewesha wengi.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anayedaiwa kuwa na sura mbaya zaidi duniani

    Naomba contact zake uwe mchepuko wangu.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Altezza inauzwa

    Ni cc ngapi litre 1 kwa km ngapi?
  5. P

    JamiiForums Tanzania Toyota Raum New Model inauzwa 9,300,000/=

    Elli vitz unauzaje?
  6. P

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Kocha Sylvester Marsh hatuko nae tena

    R. I. P. Marsh
  7. P

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mtanzania Afariki leo mjini Istanbul nchini Uturuki

    Mzizi mkavu kwanza poleni sana. Fanyeni kamchango maiti asafirishwe aje azikwe kwao musimzike ughaibuni mtu kwao bwana.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Mshindi wa BBA Idris

    Acha wivu wa kike Kama uwezo anao kuna tatizo gain? Pesa umempa wewe!?
  9. P

    JamiiForums Tanzania Naseeb Abdul (Diamond Platinumz), akaliwa kooni na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)

    Uonevu na wivu wamekosa mahali pa kupata mapato hadi wamfuate diamond? Hivi wale waliovuna escrow wamelipa kodi? Mbona wanapenda kufukuzana na vitu vidogo sana mambo muhimu wanayaacha!
  10. P

    JamiiForums Tanzania Imeniuma sana, vijana tuwaheshimu mama zetu

    Dozi ya limbwata toka kwa mkewe imemzidi nguvu hadi kamfukuza mama yake aliyemuhifadhi tumboni miezi Tisa akamzaa kwa uchungu pia akamkuza. Mungu amusamehe.
  11. P

    JamiiForums Tanzania Baba au Mama?

    Naigawa Mara mbili wote nawapa elfu hamsini wazazi wote ni muhimu kwangu siwezi kubagua Mungu hapendi.
  12. P

    JamiiForums Tanzania TANESCO na NMB mnakeraaaaa

    Hivi hakuna uwezekano wa kuruhusu makampuni mengine ya kufua Umeme na kusambaza kwa watumiaji maana Umeme ni maendeleo kwa kuwategemea TANESCO wanaobolonga kila kukicha tutakwama siku zote. Iwe kama walivyoruhusu makampuni ya simu hivi sasa nyodo za ttcl zimeisha hawana jeuri tena.
  13. P

    JamiiForums Tanzania Picha za maafa ya mvua Kahama

    Poleni sana wapendwa
  14. P

    JamiiForums Tanzania ITV kuna ubaguzi kwenye utoaji habari?

    Hauna mantiki chuki binafsi inakutafuna na wewe anzisha yako uwe unatangaza habari uzipendazo.
  15. P

    JamiiForums Tanzania Kuwa Tajiri na ukakosa Elimu ni Maradhi makubwa sana

    Mimi naona nafuu kuwa na pesa kwanza
Back
Top Bottom