Picha za maafa ya mvua Kahama

Picha za maafa ya mvua Kahama

Duuh aiseee, mvuagani hii jiwe kubwa namna ile? Kweli tusali kila wakatijamani Mungu anauwezo wa ajabu, R.I.P marehemu wote.

unaambiwa jiwe moja lilikua na uzito mpaka wa kilo 50
 
si vizuri kuombea watu mabaya kwa kuwa kuna wengine hawahusiki.

KUWA:HICHO KIJIJI KILICHOPATA MAAFA YA MAFURIKO NI WATU WASHIRIKINA WAKUBWA NA WANGA WAKUBWA.

hizo habari za uhakika kuna mtu ametokea jirani na kijiji hicho ndio alivyotoririka
 
tupe historia kidogo ya hicho kijiji
 
Kilichoua ni nini?
Mafuriko, kubondwa na barafu au kuangukiwa na nyumba?
 
...Dah haya ni maajabu ya Dunia,Lakini ni amini ni mkosi.Taifa hili lina mkosi maana toka bwana huyu aaze kutawala mpaka ana karibia kumaliza hakika Tanzania imepitia katika hali ngumu mno.Tuombe mwenyezi Mungu na kupitia jina mwanaye YESU KRISTO TUTAPONA.
 
Duuh aiseee, mvuagani hii jiwe kubwa namna ile? Kweli tusali kila wakatijamani Mungu anauwezo wa ajabu, R.I.P marehemu wote.

So many unanswered question about life and existance, inaumiza sana
 
Duuh aiseee, mvuagani hii jiwe kubwa namna ile? Kweli tusali kila wakatijamani Mungu anauwezo wa ajabu, R.I.P marehemu wote.

ilikua kama sodoma na gomola,totauti ni kua sehemu moja ilinyesha mabonge ya moto,na huko mabonge ya barafu
 
Paleni wana kahama...na wote walioguswa...mungu awatie nguvu
 
Duuh aiseee, mvuagani hii jiwe kubwa namna ile? Kweli tusali kila wakatijamani Mungu anauwezo wa ajabu, R.I.P marehemu wote.

Mungu atusamehe........! Awape nguvu na subra wafikwa.majanga.............'jamani sipati picha wakati inanyesha kulikuwaje.wali haha vibaya.....na watoto .....mtihani.jiwe lile kutua juu ya nyumba ya udongo na paa la nyasi ni kubwa mno.!
 
Mungu yupi, huyuhuyu aliyewashushia mawe kisha awafariji? hii ngumu kumeza.
 
poleni ni janga la wote mungu awatie nguvu na uvumilivu kwa wakati huu mgumi ni mapito tu
 
si vizuri kuombea watu mabaya kwa kuwa kuna wengine hawahusiki.

KUWA:HICHO KIJIJI KILICHOPATA MAAFA YA MAFURIKO NI WATU WASHIRIKINA WAKUBWA NA WANGA WAKUBWA.

hizo habari za uhakika kuna mtu ametokea jirani na kijiji hicho ndio alivyotoririka

Aisee?mambo ya safina,kaum luttu,any way Allah awape tahfif
 
Kweli hili ni janga na wahanga wote poleni. Shida iliyopo ni namna jamii zetu au nchi kwa ujumla ilivyo tayari kukabili zilizara kama hili na mengine. Hakuna utayarifu wowote katika ngazi yoyote.

TMA wanalipa pango ya bilion moja kwa mwaka pale ubungo plaza ili hali hawana vyombo thabiti vya kufanyia utabiri wa papo kwa papo na kutoa taarifa kwa maeneo husika. Mvua ya mawe inaweza kuonekana hata kwenye rada, jambo ambalo walitakiwa walione hata dakika chache kabla ya maafa.

kwa upande wa wananchi, inasikitisha kuwa wahanga ni watu maskini sana. Hawana nyumba imara kuweza kuhimili hata kwa sekunde, tufani hata ya kipimo kidogo.

Tujifunze, tujiandae.

poleni sana wahanga
 
Back
Top Bottom