Tanzia: Kocha Sylvester Marsh hatuko nae tena

Tanzia: Kocha Sylvester Marsh hatuko nae tena

Bwana alitoa na Bwana ametwaa..Jina lake lihimidiwe milele, Amina
 
Dah! poleni familia kwa kupoteza nguzo muhimu, Mash mi nilikuwa nakukubali sana, Mungu akupumzishe kwa Amani.
 
Oooh so sad. Ndie aliyebadili soka la Tanzania kupitia timu ya vijana Serengeti boys/ Ngorongoro, one of the two. Poleni wafiwa jamani.
 
RIP Kocha Sylvester,
Poleni wafiwa wote, Mungu awape faraja ktk kipindi hiki kigumu!
 
Daaaah. Marsh miaka ya nyuma sana tulikuwa naye chuo cha uhazili tabora. Darasani alikuwa mwanaume pekee yake. Mkuu wa chuo akiwa ni mama msemakweli. Silvester alikuwa mtaratibu sana.

Pumzika Rafiki.
 
pumzika kwa amani mwalimu poleni sana familia.
 
very sad news; but anyway no way. R.I.P Silvester Marsh
 
R I P legendary, Sylvester Marsh. You'll be missed Coach.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom