Recent content by Pangasonic

  1. Pangasonic

    Wanasiasa wana manene, eti ''Mungu aliamua ugomvi''

    Tunamshuku Mungu kwa kuingilia na sasa bahari imetulia
  2. Pangasonic

    Natabiri Bashiru kuwa Waziri Mkuu

    Mungu atuepushie mbali
  3. Pangasonic

    Hayati Magufuli anapaswa kupewa Heshima ya Baba wa Pili wa Taifa la Tanzania

    Uliona wapi nyumba ikawa na baba wawili? Acheni kushusha thamani ya Tanzania na ya Nyerere. Hatuhitaji nchi kuwa na baba wawili, baba huwa ni moja tu kwenye familia
  4. Pangasonic

    GE2020 Je, Halima Mdee amefanya nini Kawe kwa miaka 10 ya ubunge wake kustahili kuendelea? Sikia ya Askofu Gwajima, 28 Oktoba fanya uamuzi sahihi

    Kuna elements za ukabila zinainyemelea nchi yetu. Hivi mh magufuli alisema mayalla kwa kisukuma ni nini?
  5. Pangasonic

    Kumbe uchaguzi wa kwanza kabisa wa Tanganyika mwaka 1960 Mwl. Nyerere alipoteza jimbo moja tu ambalo ni la Karatu, Lissu ameeleza leo

    Hapana. Jimbo lililochukuliwa na mgombea binafsi ilikuwa Mbulu wakati huo ikihusisha Wilaya za Mbulu, Hanan'g, Karatu na Babati. Mgombea wa TANU alikuwa Dodo na alishindwa na mgombea binafsi aliyejulikana Kama Elias Sarwatt
  6. Pangasonic

    GE2020 Wajumbe wa Kamati ya Uchaguzi CCM jimbo la Butiama mtalaaniwa

    Nyerere wacheni apumzike kwa Amani. Watoto wake hawajawajenga Kama watoto wa mtu aliyeongoza nchi kwa zaidi ya miaka 20, angalia watoto wa viongozi wengine si kwenye ubunge Wala uraisi, wanarithi vyeo vya wazazi wao
  7. Pangasonic

    Siasa na ualimu na elimu; Walimu, hebu tuacheni huu ujinga, ni ujinga sana!!

    Siyo walimu tu ndugu yangu, nchi hii inaangushwa na wasomi wakubwa kwa sasa hivi na sababu ni unafiki uliopitiliza. Kama ulishawahi kusoma kitabu cha kivuli kinaishi mhusika mkuuu akiwa bi kirembwe. Watu wanaaminishwa kuwa nyeusi ni nyeupe na nyeupe ni nyeusi baada ya kula unga wa ndere
  8. Pangasonic

    Mnaomshambulia Spika Ndugai someni katiba ya nchi

    Naamini huu ni upotoshaji. Chama kinampa taarifa Spika kuhusu kufukuzwa uanachama kwa mbunge, Kisha spika anaiarifu tume ya uchaguzi kuwa Jimbo X liko wazi na tume inaitisha uchaguzi kwa mujibu wa katiba Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Pangasonic

    Mbunge wa Kishapu(CCM), Suleiman Nchambi aliyekutwa na silaha 16 aburuzwa mahakamani, asomewa mashitaka 12

    Swali la ufahamu, mahakama ya Wilaya ina uwezo wa kusikiliza kesi ya uhujumu uchumi?
  10. Pangasonic

    DC Kibaha, Assumpta Mshama: Kitendo cha RC Makonda kutishia kuwakamata wabunge kinaitia aibu Serikali

    Yaani DC wa nchi ipi hiyo anayeweza kutoa kauli Kama hiyo kwa hiyo mtu, tena awe Assumpta?????????? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Pangasonic

    Nimeamua kujiunga na NCCR Mageuzi

    Ukiona mpinzani wako anakusifu "Kaa chini tafakari, Kuna kosa kubwa umelifanya mahali fulani" Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Pangasonic

    Wakenya mna tatizo gani?

    "Mbingu haiwezi kuwa na wivu na dunia hata siku moja" Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Pangasonic

    Boniface Jacob mgombea ajaye jimbo la Ubungo CHADEMA

    Ya kweli hayo? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Pangasonic

    Coronavirus, Tanzania: Shule zote kuanzia za Awali, Msingi na Sekondari zafungwa. Mikusanyiko ikiwemo ya Kisiasa yasitishwa

    Vipi kuhusu vyuo vikuu, au ni watu wazima watajikinga kikamilifu? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Pangasonic

    Wengi hawajaielewa kauli ya Dkt. Ally Bashiru kuhusu CCM kutumia faida ya kuwa na dola kuendelea kubaki madarakani

    Wasomi wetu wanaonyesha udhaifu mkubwa wa kutambua mambo, wale wenye elimu ya chini au wasio na elimu rasmi wamekuwa waelewa kuliko wasomi wengi. Argument za wasomi zimekuwa za ajabu mno kuliko za watu wa kawaida. Shida iko wapi, tumekwama wapi au ni tamaa ya nafasi za uteuzi zinatesa wasomi...
Back
Top Bottom