Recent content by PAND PIERI

  1. PAND PIERI

    Wanaume Mungu awasaidie

    Na wewe umeolewa..? au ni miongoni wanaomtegemea
  2. PAND PIERI

    Naombeni jibu la mwisho la kumpa huyu dada

    Inatafutwa wapi, tukatafute, kwenu
  3. PAND PIERI

    Kifo cha mwanangu kipenzi kimetokana na uzembe

    Huwa nashangaa Sana mtu kutotaja Hospital iliyosababisha maumivu kwake,
  4. PAND PIERI

    Wewe mkata tiketi Azam Fast Feries

    Huyo kijana ni mweusi na ana miaka 28-33, ana dharau na ni Boya kweli . Kuna siku elfu tano yangu ilichanika kidogo akagoma kupokea, nikamwambia hii hela haijaharibika kivile, isitoshe nyie mna deposit bank akagoma,. Abiria wezangu waliokuwa nyuma yangu wakamwambia hiyo hela haijachanika...
  5. PAND PIERI

    Kwa Mara Kwanza aliyemuua Bob Marley akiri akiwa mahututi kitandani

    Hahahhah mkuu hata Kama wangehusika una fikiri wangekubali ?
  6. PAND PIERI

    Mikoa ambayo Rais Samia atapata upinzani mkubwa 2025

    Wewe nae Kama mtoto mdogo, kwani nchi hii Kuna mkoa pizani kwa ccm, au hukumbuki hata mwenye goli la mkono ni waziri, kikubwa apate upizani atatangazwa tu.
  7. PAND PIERI

    Kwenye nyumba za kupanga mabinti wengi hutumika sana

    Wanaume Kama hawa Mimi siwaelewi, unalalamika demu kugongwa ? wewe unataka aishije ? mtu amepanga chumba chake.. anagongwa kwake.. wewe unaumia nini ?
  8. PAND PIERI

    Kwenye nyumba za kupanga mabinti wengi hutumika sana

    Yeye anaumia nini, wakati anatumia Mali yake, Mimi Nachukia wanaume Kama hawa kila siku kulalamika mademu kugongwa. Waacheni wagongwe wewe inakuhusu nini.
  9. PAND PIERI

    Binamu yangu kanitibua yeye na mwanae

    Hapana mkuu, baada ya dogo kuniharibia siku, alafu isitoshe nguo nyeupe imenibidi ninunue T-shirt.. buget amboa sikua nalo, ungekuwa aibu ndani ya daladala Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
  10. PAND PIERI

    Binamu yangu kanitibua yeye na mwanae

    Leo nilienda kumtembelea dadangu /binamu wa kike, nilimpigia simu Jana kuwa leo nitamtembelea na kweli niliamka kwa kufanya majukumu yangu na kujiandaa na safari nikatumia saa moja na nusu . Ni muda mrefu hatujaonana na alitaka niende kumsalimie nilifika muda wa saa sita hivi. Binamu yangu ana...
  11. PAND PIERI

    Umewahi kukutana na utapeli wa aina gani?

    Akishajenga na wewe unamfukuza kwa nyodo..
  12. PAND PIERI

    Hii tabia ya kuwatenga Watoto wa nje ya ndoa ni mbaya sana, ni kutengeneza sumu kwa watoto

    Cheki huyu punda anavyojibu, uzinaa wako pereke kwa mama yako.
  13. PAND PIERI

    Hii tabia ya kuwatenga Watoto wa nje ya ndoa ni mbaya sana, ni kutengeneza sumu kwa watoto

    Nachukia kuita binadamu mwezako haramu, awe mama Wala mtoto, na hata alizaa kwa kupenda au kwa kutopenda. Ni nani aliyekamilika na mwenye mantiki ya kuwaita binadamu wenzake "haramu".
  14. PAND PIERI

    Mwanafunzi atangaza kuwania nafasi ya Spika wa Bunge

    Mkuu umeona Kama Mimi, huyo mwezangu anatengeneza njia yake, atajadiliwa na m/kiti wa ccm (Rais),na tayari atakuwa amesafisha njia kulingana na mfumo wa siasa yetu.
Back
Top Bottom