Huyo kijana ni mweusi na ana miaka 28-33, ana dharau na ni Boya kweli . Kuna siku elfu tano yangu ilichanika kidogo akagoma kupokea, nikamwambia hii hela haijaharibika kivile, isitoshe nyie mna deposit bank akagoma,. Abiria wezangu waliokuwa nyuma yangu wakamwambia hiyo hela haijachanika vibaya..
Akagoma na kunijibu nikadepost chooni kwangu, nikapanic na kumtukana ya nguoni, kwa kuwa Kuna kioo kimetutenganisha akajaribu kunivuta mkononi kwa yale madirisha na mkononi nina kitambulisho, bahati nzuri alinishika vibaya nikamsukuma ... mwishowe wale walinzi wakaja, na kunipereka kwa wale polisi wa getini,. Wale polisi walinielewa wakaniacha nikaenda Zanzibar 1 kukata ticket na Wala hawakubagua wakaichukuwa hiyo hiyo 5,000/=