Recent content by pamoja 1

  1. P

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lapewa siku 90 kuhakikisha mitambo ya LUGUMI inafanya kazi vituo vyote

    Maajabu hayaishi jamani,
  2. P

    JamiiForums Tanzania Makonda apiga simu Clouds Tv 360 kukemea ushoga

    Kwani imekuwajeee??
  3. P

    JamiiForums Tanzania CCM,hatutaraji hotuba ya waziri wa fedha iwe live

    Hujasikia taarifa kuwa bunge la kusoma budget kuu itakuwa LIVE BILA CHENGAAAAA??
  4. P

    JamiiForums Tanzania Ally Kessy awashukia Zanzibar, Awataka Wabunge wa Zanzibar watoke nje kwa mambo yasiyo ya Muungano

    Duuuu hii Kali sasa mbona rahaaaa priiiiiiiiiiiii
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kulazimishana usafi ni halali kikatiba?

    Halafu kama ni MSABATO inakuwajee ? Hii siyo HAKI jumamosi ni siku ya SABATO
  6. P

    JamiiForums Tanzania Comoro: Shein awekwa Baka Bencha

    Hata bodguard hawajampa kiti haa jamaniii
  7. P

    JamiiForums Tanzania Lugumi yazidi kunoga,hakutaachwa jiwe juu ya jiwe lingine

    Can not be possible for this reason????
  8. P

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga atenguliwa Uwaziri baada ya kuingia Bungeni akiwa amelewa

    Can be possible kwa waziri akalewa halafu akaenda bungeni na kujibu maswali, je ni nani aliejua kuwa kalewa?? Je ina maana kitwanga hajui ethics za bunge na uwaziri na dhamani aliyokuwa nayo? Au ni njia tu ya kumuondoa kiaina ili isijulikane ati ni kwa sababu ya LUGUMI?? Najiuliza kimoyomoyo
  9. P

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa na Frederick Sumaye watajwa katika sakata la uuzwaji wa nyumba za Serikali

    Daaa nchi bhana haiishiwi na vituko, wale wote walio ccm na chadema mnapaswa kuwajibishwa na kuchukuliwa hatua, maana nchi hii mnaichezea sana, mnarushiana tu madongo Mara yule Mara huyu, yaaaaani ni tabu kweli kweli
  10. P

    JamiiForums Tanzania Nakionea huruma Chama Cha Mapinduzi

    Yaani Peter noni umulinganishe na MILARD AYO? teh teh teh milard ayo Mzee Wa amplifier weee acheni utani sasa, kwa huyo mtu NONI ( NANI) ndo niniiiiiii? Vijana Wa CCM acheni usengerema
  11. P

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya Bil. 69 za wafanyakazi hewa zilichangia mifuko ya jamii

    Yaah ni wazo zuri kabisa maana kama walilipwa mishahara hewa inamaana hata michango iliyoenda kwenye mifuko ya jamii nayo ni hewa inabidi irejeshwe maana zile pesa za wafanyakazi hewa zipo, serikali chukueni wazo hilo
  12. P

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Watumishi hewa wamefikia 10,295. Ashusha kiwango cha kodi katika mishahara

    Kutoka 11% kodi ya PAYEE hadi 9% ni hatua kubwa sana hongera sana JPM
  13. P

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kafanya uamuzi sahihi. Haikuwa sawa Kairuki kujilipa posho ya TSH 25M kwa mwezi

    Tatizo la nchi yetu watu wengi walijifanya miungu watu, inamaana hata utawala ulioisha walikuwa wanalijua hilo hivi kwa nini waliruhusu nchi ikatafunwa hivi??? Daaaaaa mie tu kwa mwezi nshahara wangu hauungi mwezi halafu nasikia eti kuna ntu alikuwa hapokei nshahara halafu ni Wa mamilioni daaaa...
  14. P

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Ni marufuku kuwasaidia Ombaomba barabarani jijini Dar

    Kwa hiyo Mimi nikimsaidia ombaomba yeye anaadhirika nini? Kama yeye hana moyo wa kuwasaidia wapo wenye moyo watawasaidia, hii inaonyesha alieshiba hamkumbuki mwenye njaa
Back
Top Bottom