Baraza la Wazee la Chadema limemuomba rais Magufuli kuhakikisha pesa takribani ya bil.69 zilizotokana na michango ya wafanyakazi hewa kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita kwa mashirika ya kijamii kama NSSF, nk. zinarudishwa hazina ili zitumike kupunguza madai ya pensheni za wazee wanazoidai serikali.