Recent content by palvinus dentalis

  1. P

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI rasmi yaamua kuua elimu yetu Darasa 1 mpaka kidato cha 6? Nini kazi ya Wizara ya Elimu,OR na Necta?

    hahahah sawa Ndalichoko na sasa wamekuleta kwenye twifaaa[emoji855][emoji23][emoji23]
  2. P

    JamiiForums Tanzania Serikali acheni kujifanya hamtuoni wahitimu, tupeni ajira, hali ni mbaya mtaani

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji125][emoji125][emoji125]
  3. P

    JamiiForums Tanzania Walioomba ajira TRA Novemba wameshaitwa kwenye usaili?

    ndio hawa hawa aise naowazungumzia ni changamoto
  4. P

    JamiiForums Tanzania Walioomba ajira TRA Novemba wameshaitwa kwenye usaili?

    Daa hawa TRA hawaaa noma sanaaaa bwanamdogo alifanya interview akatoboa akaenda oral ila hawakumuita hataa mpaka na wa leo
  5. P

    JamiiForums Tanzania Urgent ! Natafuta kijana wa kazi za shamba kwa mkataba wa miezi sita

    hahahahaha[emoji23][emoji23]
  6. P

    JamiiForums Tanzania ujasiliamali.

    Hello salama wakuu natafuta vijana wenzangu tuunde kikundi kwa ajili ya kufanya shughuli za ufugaji kama Kuku au Nguruwe n.k , kwa walioko mkoani Mbeya ni bora zaidi ."tukiwa na umoja ni rahisi kufanikiwa" karibuni
  7. P

    JamiiForums Tanzania Dawa gani nzuri ya wadudu katika maharage?

    Ahsante mkuu
  8. P

    JamiiForums Tanzania Dawa gani nzuri ya wadudu katika maharage?

    Hapana
  9. P

    JamiiForums Tanzania Dawa gani nzuri ya wadudu katika maharage?

    Ninaomba msaada kwa wajuzi wa mambo je ni Dawa gani nzuri ya wadudu katika maharage kwa anayefahamu.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Shukrani kwa Rais Samia na Serikali yako tukufu

    Tunashukuru Mh. Rais Samia na Serikali yako sasa tumeanza kuona ajira mpya. Ni jambo la kheri na inatia faraja kiasi. Lakini pamoja na hayo yote mema na mazuri, Mheshimiwa tunaomba usawa katika nafasi hizi kama ikikupendeza nikiwa na maana hii: 1. Kuna baadhi ya kada hazipati fursa ya kutoa...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu ajira za polisi

    Habari zenu wakuu, kuna bwana mdogo anahitaji kuomba hizi nafasi za ajira za polisi zilizotangazwa karibuni lakini kwenye maelezo yake wamesema muombaji ajaze form namba 2 maelezo yake ndio aendelee. Sasa amehangaika kuipata hyo form kashindwa je kama kuna alieweza je ameipatje?
Back
Top Bottom