Naomba ufafanuzi kuhusu ajira za polisi

Naomba ufafanuzi kuhusu ajira za polisi

Joined
Sep 27, 2021
Posts
12
Reaction score
9
Habari zenu wakuu,

kuna bwana mdogo anahitaji kuomba hizi nafasi za ajira za polisi zilizotangazwa karibuni lakini kwenye maelezo yake wamesema muombaji ajaze form namba 2 maelezo yake ndio aendelee.

Sasa amehangaika kuipata hyo form kashindwa je kama kuna alieweza je ameipatje?
 
Ata mimi sijafanikisha kuona fomu hiyo
 
Back
Top Bottom