Recent content by Paloma

  1. Paloma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Historia ya kushangaza kuhusu ugunduzi wa kondom

    eenh.......evolution ya ndomu Mtambuzi una mambo wewe.........
  2. Paloma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahusiano na mume wa mtu ni shughuli pevu

    Mhh ngoja nichekee pembeni kwanza........... sasa unapomdate mume wa mtu.....unategemea nini labda Malaika mimi
  3. Paloma

    JamiiForums Tanzania Mapenzi

    hahahaa sasa huyu anaambiwa nini? labda atafute Vitamin B Complex kwanza...
  4. Paloma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shemeji yenu kisirani

    ukienda hurudi....unarudi asubuhi unasema walikuwa hawajafungua so ikabidi usubiri wafungue :teeth: maana hukutaka akose!!! huyo binti sijui anakula maharage ya msumbiji??? cc Mentor miss chagga
  5. Paloma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimefanya mapenzi na ndugu yangu, nifanyaje?

    easy...waoane tu hao....haina shida!
  6. Paloma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shemeji yenu kisirani

    ahahahaa Mentor dont you "miss you" me...... uone aibu!:sad:
  7. Paloma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shemeji yenu kisirani

    we kutongoza ulianzaje....???:A S-rap:
  8. Paloma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shemeji yenu kisirani

    ndio....kelele zitapungua...coz atakuwa busy na watoto! nimekumiss we mdada...
  9. Paloma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shemeji yenu kisirani

    mtie mimba za kutosha.....bandika bandua!
  10. Paloma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiyaweza haya chepuka tu ila usioe

    khaaa masai dada they say sharing is caring....let them enjoy! and make sure you do the same! Fair play! Fullstop
  11. Paloma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiyaweza haya chepuka tu ila usioe

    pole sana kwa kusongoka mwaj wa ukweli. sasa huo muda wa kufatilia kama katumia kondomu unao? na kwahiyo siku kama hana hela ya matumizi.....(as siku hazifanani) hapo utajipa mawazo kuwa njemba kazimaliza kwa mchepuko?!?!:confused2: kusongoka kunazidi hapo. Kazii unayo.
  12. Paloma

    JamiiForums Tanzania Nane nane mwaka 2015: Matembezi ya hisani ya wana JF kuchangia wagonjwa Ocean Road

    woooi Nicas Mtei umekuwa mcharoooooo.....mekumith:glasses-nerdy:
  13. Paloma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimefanya mapenzi na ndugu yangu, nifanyaje?

    shansarie ...........hahahahaa mmenichekesha leo sasa huyu aliyelala na nduguye....ni nduguye kivipi kwanza? wa damu gani? au wa kuungaunga na utomvu? maana hapo ndo tutajua hadhi ya nyege alizokuwanazo na kumshauri afanyeje. vinginevyo huu uzi ni mizinguo tu!
  14. Paloma

    JamiiForums Tanzania Nane nane mwaka 2015: Matembezi ya hisani ya wana JF kuchangia wagonjwa Ocean Road

    mpwa kutangaza nia bado aisee ngoja nifikie 50 years labda..... ila matembezini initatkuwepo....umlete MANI
  15. Paloma

    JamiiForums Tanzania Nane nane mwaka 2015: Matembezi ya hisani ya wana JF kuchangia wagonjwa Ocean Road

    bebe sosoliso hivi unajua ulezi wa mapacha ni noma aksee na hivi wewe ndo huna habaree nao kutwa unalewa tu unategemea mie nifanyeje Ila matembezini nipo lakini mie ntatembea kuanzia ferry.... umenielewa een mpwa Elli
Back
Top Bottom